Kauli ya hivi karibuni za mkuu wa nchi alipokuwa akihutubia huko Arusha na kudai kuwa sisi hatufundishwa namna ya kuongoza na kwamba mambo ya utekaji yanayoendelea nchini yangekuwa yakewakera marais wa hizo balozi ambazo zinashinikiza uwepo wa uchunguzi huru wa mauwaji na utekaji kuwa wangempigia simu wao wenyewe na siyo mabolozi.
Hii inatoa mashaka ya ikiwa kweli rais anajua mamlaka na utendaji kazi wa balozi.
Eti Biden achukue simu na kumpigia SSH? Duuh, dunia inaenda kasi sana.
Pia soma
- Rais Samia hapa ulikosea kidogo na sijui ni nani alikujaza Upepo na ukalisema hili