Ni wakati wake pia na katiba inamruhusu kuwa hivyoKauli ya hivi karibuni za mkuu wa nchi alipokuwa akihutubia huko Arusha na kudai kuwa sisi hatufundishwa namna ya kuongoza na kwamba mambo ya utekaji yanayoendelea nchini yangekuwa yakewakera marais wa hizo balozi ambazo zinashinikiza uwepo wa uchunguzi huru wa mauwaji na utekaji kuwa wangempigia simu wao wenyewe na siyo mabolozi.
Hii inatoa mashaka ya ikiwa kweli rais anajua mamlaka na utendaji kazi wa balozi.
Eti Biden achukue simu na kumpigia SSH? Duuh, dunia inaenda kasi sana.
Huenda unahoja, lakini haraka ya nini?Kauli ya hivi karibuni za mkuu wa nchi alipokuwa akihutubia huko Arusha na kudai kuwa sisi hatufundishwa namna ya kuongoza na kwamba mambo ya utekaji yanayoendelea nchini yangekuwa yakewakera marais wa hizo balozi ambazo zinashinikiza uwepo wa uchunguzi huru wa mauwaji na utekaji kuwa wangempigia simu wao wenyewe na siyo mabolozi.
Hii inatoa mashaka ya ikiwa kweli rais anajua mamlaka na utendaji kazi wa balozi.
Eti Biden achukue simu na kumpigia SSH? Duuh, dunia inaenda kasi sana.
Pia soma
- Rais Samia hapa ulikosea kidogo na sijui ni nani alikujaza Upepo na ukalisema hili
Germany vs Burundi
Italy vs Sao Tome
Russia vs Eswatini
Uswis vs Gambia
Denmark vs Malawi
Eti hizo zote ni Sovereignty states na statuses ni sawa.........ππ
Nilipoliona jina 'Pantosha' nikasema hapa kuna mambo. Hata namaliza kusoma naona 'Pankwisha' Ama kweli duniani kuna mambo.Kauli ya hivi karibuni za mkuu wa nchi alipokuwa akihutubia huko Arusha na kudai kuwa sisi hatufundishwa namna ya kuongoza na kwamba mambo ya utekaji yanayoendelea nchini yangekuwa yakewakera marais wa hizo balozi ambazo zinashinikiza uwepo wa uchunguzi huru wa mauwaji na utekaji kuwa wangempigia simu wao wenyewe na siyo mabolozi.
Hii inatoa mashaka ya ikiwa kweli rais anajua mamlaka na utendaji kazi wa balozi.
Eti Biden achukue simu na kumpigia SSH? Duuh, dunia inaenda kasi sana.
Pia soma
- Rais Samia hapa ulikosea kidogo na sijui ni nani alikujaza Upepo na ukalisema hili
Mwalimu wa International Relations and Diplomacy πNani alikudanganya?
Maza anajazwa upepo na chawa wakeKauli ya hivi karibuni za mkuu wa nchi alipokuwa akihutubia huko Arusha na kudai kuwa sisi hatufundishwa namna ya kuongoza na kwamba mambo ya utekaji yanayoendelea nchini yangekuwa yakewakera marais wa hizo balozi ambazo zinashinikiza uwepo wa uchunguzi huru wa mauwaji na utekaji kuwa wangempigia simu wao wenyewe na siyo mabolozi.
Hii inatoa mashaka ya ikiwa kweli rais anajua mamlaka na utendaji kazi wa balozi.
Eti Biden achukue simu na kumpigia SSH? Duuh, dunia inaenda kasi sana.
Pia soma
- Rais Samia hapa ulikosea kidogo na sijui ni nani alikujaza Upepo na ukalisema hili
Walimpa ili asiwafuatilie wakati wanaiba mali za ummaHotuba yake ya Jana, imeonyesha walio mpa PhD walikosea na wanajilaumu sana,
MaliziaGermany vs Burundi
Italy vs Sao Tome
Russia vs Eswatini
Uswis vs Gambia
Denmark vs Malawi
Eti hizo zote ni Sovereignty states na statuses ni sawa.........ππ
Maza anatuona wabara kama tunaishi kwa hisani akeNi wakati wake pia na katiba inamruhusu kuwa hivyo
Kwa hapa TZ ni Balozi Mulamula pekee ndiye aliyepata fursa ya kukutana na kula chakula Whitehouse na Biden. Huyu mhaya alikuwa ni kichwa mpaka akawakwaza wakubwa zake. Ilimgharimu lakini alitengeneza jina kwa kupata hiyo fursa adimu ambayo wengi wanaitamani lakini hawaipati.Kauli ya hivi karibuni za mkuu wa nchi alipokuwa akihutubia huko Arusha na kudai kuwa sisi hatufundishwa namna ya kuongoza na kwamba mambo ya utekaji yanayoendelea nchini yangekuwa yakewakera marais wa hizo balozi ambazo zinashinikiza uwepo wa uchunguzi huru wa mauwaji na utekaji kuwa wangempigia simu wao wenyewe na siyo mabolozi.
Hii inatoa mashaka ya ikiwa kweli rais anajua mamlaka na utendaji kazi wa balozi.
Eti Biden achukue simu na kumpigia SSH? Duuh, dunia inaenda kasi sana.
Pia soma
- Rais Samia hapa ulikosea kidogo na sijui ni nani alikujaza Upepo na ukalisema hili
Mbona umesahau kuweka USA vs BongolandGermany vs Burundi
Italy vs Sao Tome
Russia vs Eswatini
Uswis vs Gambia
Denmark vs Malawi
Eti hizo zote ni Sovereignty states na statuses ni sawa.........ππ
CCM inatuvuruga sana.Kauli ya hivi karibuni za mkuu wa nchi alipokuwa akihutubia huko Arusha na kudai kuwa sisi hatufundishwa namna ya kuongoza na kwamba mambo ya utekaji yanayoendelea nchini yangekuwa yakewakera marais wa hizo balozi ambazo zinashinikiza uwepo wa uchunguzi huru wa mauwaji na utekaji kuwa wangempigia simu wao wenyewe na siyo mabolozi.
Hii inatoa mashaka ya ikiwa kweli rais anajua mamlaka na utendaji kazi wa balozi.
Eti Biden achukue simu na kumpigia SSH? Duuh, dunia inaenda kasi sana.
Pia soma
- Rais Samia hapa ulikosea kidogo na sijui ni nani alikujaza Upepo na ukalisema hili
mwaka huu zitaitaaKauli ya hivi karibuni za mkuu wa nchi alipokuwa akihutubia huko Arusha na kudai kuwa sisi hatufundishwa namna ya kuongoza na kwamba mambo ya utekaji yanayoendelea nchini yangekuwa yakewakera marais wa hizo balozi ambazo zinashinikiza uwepo wa uchunguzi huru wa mauwaji na utekaji kuwa wangempigia simu wao wenyewe na siyo mabolozi.