Pamoja na Mapungufu ya mwalimu Nyerere lakini yeye alikua ni mtu wa kupenda hoja kinzani. Nyerere wote tunajau hakua fisadi watoto wake hawakua na kashfa za kifisadi.
Nyerere alipenda watanzania na alipenda watanzania tufaidike wote na rasilmali za nchi. Nyerere alichukia rushwa na Ufisadi alikemea wazi wazi bila kujificha. Nyerere alipenda kizazi Jeuri cha kuhoji kufanya Uhaisi dhidi ya mifumo kandamizi.
Je, waliopo sasa wanafanya yale Nyerere alitaka? Kiukweli mwalimu angekuepo watu wengine wasingekua Marais huo ndo Ukweli