Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unamaanisha Boko sio mfungaji mzuri???Udhaifu mkubwa wa Simba upo sehemu mbili tu nazo ni:-
1. Kiungo mkabaji mwenye uwezo wa kulinda mabeki wake wa kati mwenye uwezo kama Tadeo Lwanga au Fraga.
2. Mshambuliaji wa kati mweye uwezo wa kutumia nafasi kwa usahihi.
Kama kuna kosa viongozi wa Simba walilifanya kwenye usajili uliopita ni kushindwa kufanya usajili wa maana kwenye nafasi hizo mbili na hapo ndio ubingwa utawapiga chenga mwaka huu.
Nasubr jibuMechi dhidi ya Kagera ni nani hakuwepo katika list yako ya watengenezaji mfumo?
Sent from my Redmi Note 9 Pro using JamiiForums mobile app