Udhaifu mkubwa wa Simba upo sehemu mbili tu nazo ni:-
1. Kiungo mkabaji mwenye uwezo wa kulinda mabeki wake wa kati mwenye uwezo kama Tadeo Lwanga au Fraga.
2. Mshambuliaji wa kati mweye uwezo wa kutumia nafasi kwa usahihi.
Kama kuna kosa viongozi wa Simba walilifanya kwenye usajili uliopita ni kushindwa kufanya usajili wa maana kwenye nafasi hizo mbili na hapo ndio ubingwa utawapiga chenga mwaka huu.