ntakisigae
Senior Member
- Nov 26, 2013
- 186
- 66
CCM ni janga la Taifa na ni Saratani, lazima ifutwe.Choma moto wezi haoooo,Weeeziiiiiiii, Weeeziiiiii.Fake people admire fake and weak leaders.KaGAME IS THE GREAT!Unamlinganisha na rais ambaye anaulizwa swali,'' kwanini nchi yako ni ,maskini na ombamba wakati ina kila kitu'' yeye anajibu:'' hata mimi nashangaa'' au unamlinganisha Kagame na mtu ambaye anajiita ''mtoto mwizi na mnafiki wa mkulima'' akibanwa kwa hoja anaanza kulia.Hawa watu ni aibu kwa Tanzania,Afrika na dunia.Aina ya viongozi hawa ni taswrira ya jamii wanayotokana nayo.Aibu gani hii Jamani!Ni zao la MaCCM.Tanzania twende sasa tuchukue silaha ya umoja tuyafute Majambazi haya yanayoturudisha nyuma kimaendeleo, tutaifishe mali za majizi haya kwani yanajulikana,yafilisiwe na kizazi chao chote yafungwe jela maisha au yanyongwe:Fisadi,mnafiki,mzandiki, mwongo, mchawi-Wote ni watu wa kuchoma moto!T uamke mama Tanzania!Hii ndio tanzania chini ya ccm mlegezo. Ni madawa ya kulevya kwa kwenda mbele. Lazima uraisi ununuliwe hela ya unga si ipo! Kwenye umeme wanaendalea kukwapua - ukijumlisha na hizi za mihadarati ukichanganya na umaskini wa watanzania, 2015 cdm wana kazi kubwa sana sana. Labda mungu ashushe baraka zake tuweze kuwaondoa hawa common criminals madarakani (ccm)