Red Giant
JF-Expert Member
- Mar 9, 2012
- 15,657
- 20,967
Miaka ya 1800 kulitokea kitu kinaitwa opium war. Hii ilikuwa ni vita kati ya Waingereza na Wachina. Ni kwamba waingereza walikuwa wanauza sana hii opium kwa wachina na kuingiza pesa nyingi sana.
Sasa Wachina wakaona watu wao wanakuwa mateja, wakapiga marufuku matumizi ya Opium. Waingereza wakawapa 'siku tatu' wabatilishe au kitawaka. Kikawaka, Wachina wakapigwa na biashara ikaendelea.
Hii opium ndiyo inatumika kutengeneza heroin. Na mwilini dawa hii inafanya kazi kama pombe inavyofanya kazi. Na ukizidisha madhara yake yanafanana na ya pombe.
Wamarekani walipiga vita heroin kwa nguvu sababu zilikuwa zinatoka nchi za kikomunist. Hawakutaka wacommunist wapate pesa.
Kwenye vita hii ya sasa na Cocaine na nchi za latin America shida ni pesa. Hizi nchi zinavuna mabilioni ya pesa kwa kuuza cocaine US, so ili kupambana na hilo ndiyo wakaleta ban na vita dhidik ya madawa hayo. Cocaine ni kama kahawa tu.
Vita ya madawa ni uzushi mtupu.