Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Akina Chambuso ni Wabongo hakuna mzanzibari hapo.,
Ooooh mzigo ukiutia kwenye suitcase then ukaupaka mafuta ya simba eti mbwa anaukimbia na hataki kuunusa na unapeta. Mara sijui ukienda kufanyiwa makarama kwa waganga hutasumbuliwa kwenye airport yoyote.
Haya ndio matokeo yake haya
JF takuwa jukwaa la hovyo sana km mods wanaanza kushindana na wachangiaji kwa kuondoa threads na kuweka nyingine zenye ujumbe sawa...wengine huenda mbali kupiga ban kwa sababu za kuchekesha.Mengi sana nimetahadharisha humu ndani ila kuna mods wakiingia tuu...Niliwahi andika humu ndani kuwa mara nyingi hawa punda km uchunguzi haujafanyika basi mashirika ya kimarekani huwa hayatibui , huwaashi ili waweze track mapapa..muda wote huo hawa punda huw ana impressive track records hadi mapapa kuwaamini sana,kuwa ni moto ktk kuruka vihunzi....na kwa nchi km zetu punda huamini vitu ulivyovitaja hapa....Niliandika kuwa isku nchi fulani zikianza daka punda basi Mapapa bongo wajue wanakaribiwa, na hata km walidhani wanapiga issue na wamarekani, wajue wenzao walicheza ktk namna wakiingia mahakamani hawatashindwa na kuigharibu serikali yao...Haha..sasa mbwa wa kizugu wamejifunza wapi simba?na km wanamjua ni wazi watakavyo jibehave mbele ya mshukiwa basi askari watajiuliza kwanini mbwa wao kawa mwoga....ila kuna ex-rays za siri ,zinawekwa kuepeusha raia kulia mionzi na privacy.
Uchaguzi ujao wapinzani watakuwa na mengi ya kuikosoa CCM hadi muda utakuwa mdogo
Nchi ikipuuza tu ELIMU. Au kutoa elimu isiyo sahihi matokeo yake ndo haya. Hili tunalo.. naona bora serikali isimamishe yote iwekeze KIUKWELI kwenye ELIMU.
Bila hivyo.. mtaniambia.
CCM wanaposhindwa kusimamia hili ni kukuza minya ya wapinzan kupita
Wewe nawe unataka kukuelewa mpaka niwe na Masters?
Ooooh mzigo ukiutia kwenye suitcase then ukaupaka mafuta ya simba eti mbwa anaukimbia na hataki kuunusa na unapeta. Mara sijui ukienda kufanyiwa makarama kwa waganga hutasumbuliwa kwenye airport yoyote.
Haya ndio matokeo yake haya
tatizo ujanja umezidi