JF takuwa jukwaa la hovyo sana km mods wanaanza kushindana na wachangiaji kwa kuondoa threads na kuweka nyingine zenye ujumbe sawa...wengine huenda mbali kupiga ban kwa sababu za kuchekesha.Mengi sana nimetahadharisha humu ndani ila kuna mods wakiingia tuu...Niliwahi andika humu ndani kuwa mara nyingi hawa punda km uchunguzi haujafanyika basi mashirika ya kimarekani huwa hayatibui , huwaashi ili waweze track mapapa..muda wote huo hawa punda huw ana impressive track records hadi mapapa kuwaamini sana,kuwa ni moto ktk kuruka vihunzi....na kwa nchi km zetu punda huamini vitu ulivyovitaja hapa....Niliandika kuwa isku nchi fulani zikianza daka punda basi Mapapa bongo wajue wanakaribiwa, na hata km walidhani wanapiga issue na wamarekani, wajue wenzao walicheza ktk namna wakiingia mahakamani hawatashindwa na kuigharibu serikali yao...Haha..sasa mbwa wa kizugu wamejifunza wapi simba?na km wanamjua ni wazi watakavyo jibehave mbele ya mshukiwa basi askari watajiuliza kwanini mbwa wao kawa mwoga....ila kuna ex-rays za siri ,zinawekwa kuepeusha raia kulia mionzi na privacy.