Madawa ya kulevya

Don Calvino

Senior Member
Joined
Mar 3, 2012
Posts
113
Reaction score
29
Kuhalalisha matumizi ya madawa ya kulevya duniani je itafanya bei ya kununua ishuke kisha wauzaji wakubwa kukata tamaa na biashara hiyo? Ndio mikakati moja yapo ya Obama na nchi zingine pamoja na Marekani Kusini...
 
@don Calvino chanzo cha hii habari kiko wapi?
 
Kama wiki mbili zimepita raisi Obama alikuwa South America kwa kikao na wakuu wa baadhi ya nchi hizo,moja ya topic ilikuwa hiyo,niliona c.n.n.
@don Calvino chanzo cha hii habari kiko wapi?
 
Of course yakihalaloshwa bei yake itashuka na umafia wa dealers ndio utakuwa umefikia mwisho.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…