Mkuu platozoom Umezungumza Point huku nje hivyo hivyo Wavuta Unga huwa wanafungwa kiasi cha mwaka mmoja kisha ndio wanapelekwa hospitali kwa matibabu.Hiyo ndio njia nyepesi kuliko kumpeleka hospitali watatumia pesa zao bure wazazi na hata acha kuvuta Unga.Nikupe ujanja? Mkamatisheni kwa kesi halafu ongea na mwendesha mashtaka na hakimu...........wampige jela miezi kama sita, huko hatavuta huo unga na hata kama atapata bangi ni kwa kiasi kidoogo.Akitoka hamu ya unga imepungua halafu mnampeleka kwenye kituo cha ukarabati.
Ni kama masikhara lakini inasaidia sana!
Wana JF naomba msaada wenu nifanyenini? Ndugu yangu miaka 27 (male) anatumia Bangi na Unga(heroin au cocaine). kama familia tumejitahidi sana kumsaidia naona tunashindwa, sasa amefikia hatua ya kutembea bila viatu barabarani na kulala chini ya madaraja Ubungo. Tunahisi anaelekea kwenye ukichaa. Please Bandungu naomba ushauri wenu ili nduguyangu aweze kupona.
Mkuu platozoom Umezungumza Point huku nje hivyo hivyo Wavuta Unga huwa wanafungwa kiasi cha mwaka mmoja kisha ndio wanapelekwa hospitali kwa matibabu.Hiyo ndio njia nyepesi kuliko kumpeleka hospitali watatumia pesa zao bure wazazi na hata acha kuvuta Unga.
Wakuu MziziMkavu, platozoom,
Just to remind you, nje si sawa na huku...i think you underestimate the power ya addiction or drug withdrawal by physical measures!
-Pili, Ulinzi uko mzuri and esp. maximum security penitentiaries..tofauti na huku kwetu, "deal" kuchezwa na maaskari na madawa kupatikana ndani humo humo!
Thanks...!
Nimeshuhudia hili lilimsaidia mtu, kumbuka hapa hatusemi kwamba hatapata kabisa unga, hata akipata ni kidogo sana (na ofcourse hata huko kwenye rehab siku za mwanzo hawawanyimi kabisa).
lakini pia tofauti na bangi unga kuingizwa magerezani ni kwa wale wenye kipato kizuri kiasi ndio wanapata lakini kwa hyu ambaye ndugu zake watakuwwa wanamcheki mara kwa mara itakuwa ngumu!
Langa HIPHOP musician?
Mkuu platozoom Umezungumza Point huku nje hivyo hivyo Wavuta Unga huwa wanafungwa kiasi cha mwaka mmoja kisha ndio wanapelekwa hospitali kwa matibabu.Hiyo ndio njia nyepesi kuliko kumpeleka hospitali watatumia pesa zao bure wazazi na hata acha kuvuta Unga.