Made in PRC ni sawasawa na made in China

MSAGA SUMU

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2015
Posts
6,661
Reaction score
21,656
Nimepokea meseji kibao PM wakiniuliza bidhaa zilizoandikwa made in PRC zimetengenezwa wapi? Maana yake ni kuwa zimetengenezwa People's Republic of China au kwa kifupi ni China, kutokana na udhaifu wa bidhaa za kichina basi wameona wawatrick wateja wasiofuatilia vitu,
Nawakilisha
 
Iweje wakuulize wewe mkuu?
 
Ndiyo maaNa yake mkuu pigia mistar
 
Ndio mkuu Kirefu chake ni made in People Republic of China [emoji3581][emoji3581]
 
PRC=People's Republic of China=Jamhuri ya Watu wa China=China
Jamhuri ya Watu wa China ni rasmi, lakini kwa kawaida sisi Wachina husema China tu, inafanana na hali ambapo Watanzania husema Tanzania tu, wala si Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
 
Back
Top Bottom