K vant ni ya waliostaarabika?Tuanze na vinywaji pendwa vya Watanzania waliostaharabika. K - Vant na Mmakonde (Konyagi).
Ulikuwa hujuwi au unaota ndoto?K vant ni ya waliostaarabika?
Naona hadi wanywa gongo nao wamehamia huko ndo maana nashangaa.Ulikuwa hujuwi au unaota ndoto?
Kumbe ndiyo maana inapendwa sana na watu wa Diaspora?K vant ni ya waliostaarabika?