Dennis R Shughuru
JF-Expert Member
- May 30, 2024
- 267
- 372
- Thread starter
-
- #21
Ni kweli ulichoongea hakuna nchi ya kiafrika ambayo imeweza kuwa manufacturing hub ni ngumu bali inawezekanaNi wazo zuri, ila matatizo mengi katika nchi za kiafrica yanafanana. Kabla hatujaenda mbali, ni nchi zipi za kiafrika zimefanikiwa kwenye hilo?
Hatuna viwanda vya kutengeneza nyuzi ? As far as nguo are concerned moja ni gharama za uzalishaji hivyo bei kuwa kubwa mbili its all about marketing..., Hata hizo Nike unazovaa ingawa ni American Company ila zinatengenezwa India sababu ni cheaper kuzitengeneza huko..., Kwahio binafsi hapa kuna mawili kama tunaweza kuzalisha nguo na kujivisha cheaply kuliko kununua nje tufanye hivyo ila kama gharama ni ndogo basi tununue kwenye gharama ndogo na tujikite kwenye mengine ambayo we can do it cheaply....Viwanda vya nguo Tanzania sababu hatuna msingi wa viwanda
Mfano hatuna viwanda vikubwa vya spinning ambavyo vitakua vinatengeneza nyuzi (yarn) both za kisasa na za asili zitokanazo na cotton
Watu wanakwenda China sababu ni cheaper na sio sisi tu dunia nzima wanakwenda China..., pili watu wanakwenda USA na pengine sababu ya marketing na Brand wanavaa kina Nike Adidas na Calvin Klein sababu ya marketing na branding...., kwahio kuondoa hilo inabidi kubadilisha mentality ya watu...Tungekua na viwanda imara vya nguo watu wasingeenda china
Kwenye mfano wangu nilisema tunaweza kufanya hata assembling au kuingia hata PPP's na wazalishaji wakubwa kutoka huko whichever is cheaper..., sometimes kama soko lako sio kubwa kunakuwa hakuna economical sense ya kufanya kila kitu.., China wanaweza kufanya mengi sababu wanauzia Dunia nzima hivyo economy of scale hata wakiuza peanuts faida ndogo ndogo nyingi inazaa faida kubwa...Ili utengeneze majiko unahitaji uweze kununua steel au chuma kwa bei nafuu sasa Tanzania hatuna smelter za pog iron, aluminium na copper
Matokeo yake chuma (steel) aluminium na copper tunaagiza nje mwisho wa siku gharama za kutengeneza bidhaa jamii ya steel au aluminium zinakua juu matokeo yake hatuwezi shindana na wazalishaji wa nje
Sina shida na kufanya lolote ila ninachosema cha kufanya tufanye tu kama tunaweza kukifanya kwa ubora na gharama ndogo kuliko vinginevyo....Ndo maana kwenye post yangu ya kwanza kuna proposal naandika ya kutengeneza
Pig iron smelter
Aluminium smelter
Copper smelter
Spinning plant
Na nyinginezo
Swala sio kukubali kirahisi kwenda chinaHatuna viwanda vya kutengeneza nyuzi ? As far as nguo are concerned moja ni gharama za uzalishaji hivyo bei kuwa kubwa mbili its all about marketing..., Hata hizo Nike unazovaa ingawa ni American Company ila zinatengenezwa India sababu ni cheaper kuzitengeneza huko..., Kwahio binafsi hapa kuna mawili kama tunaweza kuzalisha nguo na kujivisha cheaply kuliko kununua nje tufanye hivyo ila kama gharama ni ndogo basi tununue kwenye gharama ndogo na tujikite kwenye mengine ambayo we can do it cheaply....
Watu wanakwenda China sababu ni cheaper na sio sisi tu dunia nzima wanakwenda China..., pili watu wanakwenda USA na pengine sababu ya marketing na Brand wanavaa kina Nike Adidas na Calvin Klein sababu ya marketing na branding...., kwahio kuondoa hilo inabidi kubadilisha mentality ya watu...
Kwenye mfano wangu nilisema tunaweza kufanya hata assembling au kuingia hata PPP's na wazalishaji wakubwa kutoka huko whichever is cheaper..., sometimes kama soko lako sio kubwa kunakuwa hakuna economical sense ya kufanya kila kitu.., China wanaweza kufanya mengi sababu wanauzia Dunia nzima hivyo economy of scale hata wakiuza peanuts faida ndogo ndogo nyingi inazaa faida kubwa...
Sina shida na kufanya lolote ila ninachosema cha kufanya tufanye tu kama tunaweza kukifanya kwa ubora na gharama ndogo kuliko vinginevyo....
Akili mnemba hiiMaono mazuri Dennis...
PIA,
Fanya mazoezi ya umodelishi wa viwanda vidogo vidogo halafu viwe ndani ya mtandao wa viwanda vya 'ukubwa wa kati' na 'ukubwa kabisa' halafu ushiriki mawazo.
Japo uadilifu na usanifu wako unajikita kwenye 'kutengeneza fedha na ajira kwa jamii ya Watanzania fanya mazoezi ya kuimajinisha sura ya namna ya 'uchumi wa kazi'.
Namna ya kuuona uchumi wa kazi: fikiria namna tofauti ya wanajamii kustawi pasipo dhana khasa za 'fedha ama kujenga ukwasi' bali kujishughulisha kwa ajili ya mahitaji yao ya karibu na muhimu ya kila siku--pesa inaweza kuwa ni matokeo tu; ama umiminishi wa hazina/pumzi/mtaji wa shughuli...
Mahitaji ya karibu na muhimu, ukiyaotea, yataelekea kwenye ujenzi/uboreshaji/uendelezaji wa makazi na uzashalishaji wa vyakula, bidhaa za chakula, madawa n.k -- pia mavazi.
Jenga ujuzi wa matumizi ya 'Akili Bandia' ili kuchungua mipangilio ya shughuli na mahitaji ya ujuzi ama/na kujengea ujuzi kwa wadau wa maendeleo--kwa hivyo hili linataka ujiandae kwa ujenzi wa mtandao wa mafundi wa mipango na mameneja wa miradi...
JITAHIDI KUJENGA MTANDAO WA JUHUDI NA UTENDAJI wa kutimiza maono--watu shughuli zao na maendeleo...
Unaweza, humu humu JF, kuibua mawazo, kufanya utunzi/ubunifu wa mbinu-kazi, na basi kuratibu vitendo kwa ajili ya uendelezi wa vipaji na uwezo wa kujisuka kitaasisi--kugema utayari wa wanajamii wenzako wanaoweza kuwa na dhamira na mapenzi ya kuleta mabadiliko katika jamii.
Unahitaji ujuzi na utundu wa kujipangilia na kujisukuma mbele kitaasisi; hili linakutaka uzingatie matumizi bora ya rasilimali zozote zilizopo na tena uwe na ujuzi na upeo kubaini vipaji, ujuzi na umahili wa wengine unaoweza kuwafikia/wakakufikia.
Chukulia kuwa JF inaweza kuwa ni sehemu mojawapo ya wewe kuweza kuwafikia/kuwapata wadau wa utekelezaji wa maono yaliyoko kwako. Livalie njuga hili suala hili, kinamna hii, ili upate wepesi kuibadilisha sura na mwenendo wa jamii yetu kwa 'Hamadi kibindoni...'
Hmmm
Tumekuwa na bahati tupo wakati wa Technological Revolution (Manufacturing sio rahisi hususan sasa hivi Competition kutoka China; thus tusifanye sababu tu ya kufanya tufanye iwapo kuna advantage and we can do it cheaper than alternative) ndio maana hata wengine wamenyanyua mikono; sasa cha maana ni kuangalia hili basi la teknolojia lisitupite vilevile tuwe self reliant na tuwe na sustainability.., hapo ndio pa kuanzia sababu being a developing country na since wapanga bei ni developed country ni ngumu sana kudhani hata tukitoa products kosher tutapewa value for money...Swala sio kukubali kirahisi kwenda china
Unaondoaje huu umaskini ulio-tamalaki nchi nzima
Njia mojawapo ni kupitia viwanda
Njia nyingine ni kupitia rasilimali sisi kama nchi hatuna rasilimali za kutosha za kuondoa umaskini
Hakuna kitu kirahis kwenye hii duniaTumekuwa na bahati tupo wakati wa Technological Revolution (Manufacturing sio rahisi hususan sasa hivi Competition kutoka China; thus tusifanye sababu tu ya kufanya tufanye iwapo kuna advantage and we can do it cheaper than alternative) ndio maana hata wengine wamenyanyua mikono; sasa cha maana ni kuangalia hili basi la teknolojia lisitupite vilevile tuwe self reliant na tuwe na sustainability.., hapo ndio pa kuanzia sababu being a developing country na since wapanga bei ni developed country ni ngumu sana kudhani hata tukitoa products kosher tutapewa value for money...
After all do we need mataifa ya nje ku provide basic needs kwa wananchi wetu ?
Hakuna kitu kigumu bali ni complications zisizo na mpango, huwezi kupanda mchicha ukavuna bangi..., Na ninaposema ugumu na urahisi katika manufacturing ukitaka kushindana na China ni ngumu sababu wana advantage ya economy of scale kwa sasa hivyo ni vigumu kushindana nao pricewise....., na hizo so called developed countries nyingi zimefika hapo kwa kufanya faulo.., by the way definition ya Umasikini inabidi uipitie vizuri sababu on paper India ni moja ya nchi zenye uchumi mkubwa ila ukienda ground ni moja ya nchi yenye mafukara wa kutupwa..., its all about sustainability na ili uwe sustainable kwanza uangalie jinsi ya kuweza kuwalisha watu wako na kuwapa basic needs na sio kukesha unakimbizana na dollar ili ununue bidhaa ambazo unaambiwa ni bora na za kwako hazina ubora..., yaani kuanzia asubuhi hadi usiku unawaza jinsi ya kulisha mataifa ya nje na sio jinsi gani watu wako watashiba....Hakuna kitu kirahis kwenye hii dunia
Ndo maana miaka 60+tumeshindwa kuondoa umaskini
Nani kasema mambo hayawezekani ? Wewe wakati unawaza kutengeneza magari sijui kuuzia soko gani la nje au ndani na kama la ndani pekee ni kwamba utakachouza wala hakitakidhi kulipa wafanyakazi let alone to break even..., mimi ninawaza kuanzia kidogo kidogo na kuwa self reliant bila kutegemea Hisani au dollar ya mtu wa nje ili kuweza kuishi..., vilevile kwanini tusumbuke kila tunapolima Korosho soko la dunia litasemaje ili tuweze kuuza wakati watu tuna matumbo na kurosho ni tamu na kila mtu anataka kula...Bei ya bidhaa za mtumiaji wa mwisho inategemea na cost of production za mahali husika sio kweli watu wanapanga bei
Kwenye jambo lolote linalohusu kuendelea kunahitaji sacrifice kubwa sana
Changamoto yakwako kila jambo unaona haliwezekani bahati mbaya ndo fikra ambazo viongozi wote wa afrika wanazo
HAkuna jambo halina complicationHakuna kitu kigumu bali ni complications zisizo na mpango, huwezi kupanda mchicha ukavuna bangi..., Na ninaposema ugumu na urahisi katika manufacturing ukitaka kushindana na China ni ngumu sababu wana advantage ya economy of scale kwa sasa hivyo ni vigumu kushindana nao pricewise....., na hizo so called developed countries nyingi zimefika hapo kwa kufanya faulo.., by the way definition ya Umasikini inabidi uipitie vizuri sababu on paper India ni moja ya nchi zenye uchumi mkubwa ila ukienda ground ni moja ya nchi yenye mafukara wa kutupwa..., its all about sustainability na ili uwe sustainable kwanza uangalie jinsi ya kuweza kuwalisha watu wako na kuwapa basic needs na sio kukesha unakimbizana na dollar ili ununue bidhaa ambazo unaambiwa ni bora na za kwako hazina ubora..., yaani kuanzia asubuhi hadi usiku unawaza jinsi ya kulisha mataifa ya nje na sio jinsi gani watu wako watashiba....
Nani kasema mambo hayawezekani ? Wewe wakati unawaza kutengeneza magari sijui kuuzia soko gani la nje au ndani na kama la ndani pekee ni kwamba utakachouza wala hakitakidhi kulipa wafanyakazi let alone to break even..., mimi ninawaza kuanzia kidogo kidogo na kuwa self reliant bila kutegemea Hisani au dollar ya mtu wa nje ili kuweza kuishi..., vilevile kwanini tusumbuke kila tunapolima Korosho soko la dunia litasemaje ili tuweze kuuza wakati watu tuna matumbo na kurosho ni tamu na kila mtu anataka kula...
By the way unaongelea kupanga bei ? Jiulize mfano Diamond ni nani anayeweza kucheza na bei yake zaidi ya De Beers.... yaani wewe ukigundua mgodi leo wanaweza wakaflush the market na diamond ikashuka bei na wewe kushindwa kuuza....
Au muulize Nyerere kuna kipindi alivyoona pamba ni earner mkubwa wa dollar akafanya jitihada kuongeza uzalishaji double..., lakini punde si punde kipindi cha mauzo Pamba ikashuka half price..., ukiweka na kuanzia mafuta, mbolea n.k. ambayo tulinunua kutoka nje mwisho wa siku ilikuwa ni Hasara.....
Nyerere: Clans Can't Defeat Empires
Part of the Speech Showing Marginalization of Undeveloped Countries by the Developed Countries - Citing an example in 1985/86 where we Doubled (Tanzania) the Production of Cotton and Alas !!! the Price of Cotton fell to Half. (The System must Change; A system organised for robbery - The Rich...www.jamiiforums.com
Aisee naona nasema hiki wewe unasema kile tunazunguka tu..., Kuna sehemu nimesema tusifanye ? Nimekwambia kuanzia mwanzo itakuwa ni upuuzi kufanya jambo ambalo unaweza kulinunua kwa gharama nafuu kuliko kufanya ukaendelea kulifanya..., na moja ya jambo hilo ni viwanda vya magari.....; Hata Toyota angekuwa anategemea soko la Japan peke yake angeshafunga kiwanda....; Na hata yeye alishatoka huko kwenye kufanya kila kitu Inhouse na kufanya oursourcing pamoja na Just in Time Production (Kanban)HAkuna jambo halina complication
Jambo lolote lenye kuhusu maslai ni gumu hakuna atakayekuruhusu upate hayo maslai yeye anayoyapata
Sababu mwenzako alifeli jambo flani kusikufanye uogope kufanya jambo hilo alilofeli
Nilichokuona unaogopa changamoto au challenge usiziogope hizo ni sehemu za maisha
Unaweza fanikiwa bila changamoto yeyote ile ila usipotumia nguvu kubwa kulinda mafanikio yanaondoka na utagundua nguvu ya kuyalinda mafanikio ni kubwa kuliko hata ile ya kuyatafuta ndo maisha yako hivyo
Kama unaona ni upuuzi kuingia gharama kubwa leo ila ikakusaidia baadae basi unasafari ndefu sana kifikraAisee naona nasema hiki wewe unasema kile tunazunguka tu..., Kuna sehemu nimesema tusifanye ? Nimekwambia kuanzia mwanzo itakuwa ni upuuzi kufanya jambo ambalo unaweza kulinunua kwa gharama nafuu kuliko kufanya ukaendelea kulifanya..., na moja ya jambo hilo ni viwanda vya magari.....; Hata Toyota angekuwa anategemea soko la Japan peke yake angeshafunga kiwanda....; Na hata yeye alishatoka huko kwenye kufanya kila kitu Inhouse na kufanya oursourcing pamoja na Just in Time Production (Kanban)
Naanza kupata mashaka na uelewa wako...., naruadia tena haya maneno...Kama unaona ni upuuzi kuingia gharama kubwa leo ila ikakusaidia baadae basi unasafari ndefu sana kifikra
Na kutokujua vitu vizuri ndio upofu wa hali ya juu..., na kujua huko inabidi ufanye opportunity cost ili kufahamu ufanye nini na kwa wakati gani..., kabla haujawaza kutengeneza na kuuzia wa mbali kwanza waza kutengeneza hata kuwalisha waliokuzungukaChangamoto kubwa sana ya waafrika tunapenda shortcut tunashindwa kuelewa vitu vizuri vinagharama
Na hayo nimesema wapi ? Nimeanza kabisa kuanzia mwanzo kusema wakati huu kuna pesa za bure za Nishati Safi ya Umeme kwanini tusitumie umeme kupikia na hata kufanyia assembly majiko hapahapa kuliko kuendelea kutumia LPG tunayoagiza kutoka nje....Mfano sahivi zaidi ya asilimia 90 ya bidhaa tunazotumia zinatoka nje ya nchi wewe unaona tuendelee hivi hivi kwa sababu tu kuagiza nje ni rahisi
Kwa nini iwe hivyo kwa Africa tu, je tumelaaniwa?Ni kweli ulichoongea hakuna nchi ya kiafrika ambayo imeweza kuwa manufacturing hub ni ngumu bali inawezekana
Hivyo viwanda labda una-uelewa navyo ila ungekua na uelewa navyo usingeongea ulichoongea
Viwanda vyote hivyo vitagusa watu kwa asilimia mia moja sababu hata mtu wa kawaida anaweza fungua kiwanda sababu raw material zitakua nyingi na zinapatikana hapa hapa na sio kama sahivi raw material zinatoka nje ya nchi
Hakuna sehemu nimesema kila mwananchi atakua na kiwanda labda unionyesheSI KILA MWANAJAMII ANA NDOTO YA KUWA NA KIWANDA
... Iwe kidogo ama Kikubwa.
Mali ghafi ni 'rasilimali' -- ikiwa unafikiria 'Maendeleo ya Kweli ya Watu' ni vema kufahamu, ili kujisimamia na kujiendesha kiutendaji daima lipo hitaji la kulandanisha 'uhitaji' na 'uzalishaji mali/Utoaji huduma' katika jamii yenye mseto wa watu/wanajamii wenye urazini...
Urazini maana yake mwenendo wa kiakili katika kujiuliza uliza maswali na kujijibu wewe mwenyewe; ambavyo ndiyo asili ya 'mwangaza wa utu bora' na 'elimu' na 'Utashi'.
'Mwangaza wa utu bora' na 'elimu' ndiyo kitovu cha 'ufanyaji maamuzi' na basi 'KUJICHAGULIA'...
Maisha ni Kujichagulia...
Katika sura pana mambo viwanda ni shughuli ya tija katika kuleta wepesi wa kimaisha, kuishi na uisho.
Je, tunaishi Duniani kwa kusudi makusudi yepi labda?
Hichi ni kitendawili, kila mtu atafutie jawabu lake la kumfaa...
Dhana ya 'Kugusa watu asilimia mia moja', inapokuja kwenye muingiliano wa shauri la 'ulukuki wa viwanda', ni shauri la juu juu sana kuhusu ukweli na ufasaha wa mambo... Pasipo uono mifumo, ni kukosa vina vya tafsiri kwa mashauri ya USHAWISHI na KUJICHAGULIA.
Wakati unaweza kudhani jamii inashida na 'rasilimali hii ama ile; ukweli wa mambo unaweza ikawa ni kwamba: jamii yenyewe imekosa 'Uimajinishi' ama/na "Upendo' katika ushirika wake wa kimaisha, kuishi na muisho--hata kwa hivyo 'vichache vilivyopo'.
Uimajinishi na Upendo ndiyo viwili vinavyotangamanisha Urazini na Nia; Upendo hudhamiria Uhuru/Liberti, Uzima na Udhamirifu wa furaha. Watu wenye kushiriki 'Upendo' hutumikiana--kutumikiana ndiyo nasibu ya shughuli za uzalishajimali ama/na utoaji wa huduma.
Upendo, kupitia uimajinishi, ndiyo huleta ubunifu kwa ajili ya kurahisishiana maisha miongoni mwa wanajamii; kila mtu mwenye moyo na mapendo anayo akili yenye urazini kwenye kuazimia 'Ushirika' katika makusudi ya mapenzi mema kwa jamii yake.
Kwa hivyo dhana ya kudai: 'Uelewa wa hivyo viwanda...' labda kudhani mwingine aliyekatika masikilizano 'hana uelewa' inaweza tu kuwa 'ubinafsi' wa kujidhania unaimajinishi ambao wengine hawana--jambo ambalo kiufundi ni ubatili wa kimawazo na kujiwazia utu; Ama tuseme, 'halihusu/halihusiki...' Badala ya nidhamu/utabia huu, ingalikuwa ni bora 'kushiriki tu fikra ama wazo' moja kwa moja na kuruhusu urutubishaji wa mawazo/mafikara.
Ni jambo lenye kheri kushiriki 'uimajinishi wa kimawazo na wengine' huku ukitambua fika, kila mtu anaouwezo wa kuimajini--labda awe amedanganyika/hadaika kudhani yeye ni 'kilaza'; Sasa si 'tabia njema/adabu njema' kuwadhania watu wengine, watu wengine nje ya mtu mmoja na kule kujiwazia utu binafsi, kuwa ni 'mbulula'--mbulula ila wewe fulani bin fulani ndiyo unayosuluhu mujaribu; kwa kuwa hili linaweza kuwa 'pepo la ujivuni' na kujiinua...
KUJISHUSHA kuna manufaa yake ili jitihada binafsi zipate baraka za kimaisha, kuishi na uisho.
Tanzania kwa mfano, ni taifa la watu wenye kujengewa misingi ya Utu bora kwa ajili ya Maendeleo ya Taifa lenyewe la Watanzania.
Kila mwanajamii wa taifa hili 'si mbulula', na wala si 'kondoo wa matoleo' kwa ajili ya wachache wanaodhani wanacho cha kujua khasa na hali wengine wawe ni wasindikizaji; ndiyo kuna muktadha wa 'mioyo iliyovunjika' lakini hili lisiwe sababu ya nasibu ya wachache kudhani 'Unyonge wa Wanajamii' ni kwa kuwa 'wanaakili ndogo/vilaza'... Kwa kuwa dharau, ukosefu wa tumaini na upendo ni mambo yanayotulazimu kuuwasha 'Mwenge wa Uhuru' kwa ajili taifa katika kujijenga/mabadilikoni.
Kwa hivyo ni vema kujitahidi kuelewa tofauti na maendeleo kwa mipango shirikishi badala ya mipango kwa urazini shindilifu wa wachache ama fulani wa kidhania yeye ni kinara wa mawazo...
Dennis, tumia muda kujijenga na maarifa ya mipango--mipango ya maendeleo ya jamii... Udhanifu wako wa nguvu ya viwanda ni seti ndogo ya ujuzi wa kusuka mipango ya maendeleo ya jamii.
Sema, kudhania viwanda ni 'mpango mzima' ni shauri lililo na muktadha akilifu wenye kufanana kabisa na kile wenye kuzungumza kwa lugha kiingereza hutaja kama 'Comprehensive Rational Planning'; jambo hili daima linachangamoto zake za kisera na mapengo katika uwezo wa kiutekelezaji wake kulingana na taasisi za umma na mifumo iliyopo.
Japo bado 'Unajitafuta'; kwa kuwa bado hauoneshi maarifa na utambuzi kuhusiana na 'masuala ya hali halisi' ya kusuasua kwa maendeleo mjini na vijijini... Inakuhitaji sana sana uwe na maarifa ya taasisi za maendeleo ya umma na mifumo. Labda wakati mmoja unaweza kuja kung'amua, nchi ama taifa husogea kimaendeleo kwa nguvu ya Utaasisi na kujipanga--watu wengi, wenye ujuzi na uweledi tofauti tofauti, kusimama kama chombo hai kimoja...
Viwanda na Maendeleo huandamana na changamoto nyingi za kiutawala na usimamizi wa maendeleo kutokana na watu walengwa na mazingira yao wakati mmoja hata mwingine--iwe mjini ama vijijini. Usipokuwa na Uzingatiaji wa 'Mazingira hayo' ya jamii za vijijini na kijijini basi ujue fika, suala la maendeleo kwa nguvu ya viwanda linamashauri yasiyo na mashiko ya ubayana wa mambo...
Hakuna sehemu nimesema kila mwananchi atakua na kiwanda labda unionyeshe
Actually mkuu mimi ninaamini katika Soko Huria..., ila ninajua katika soko huria hilo wakiachiwa mabepari na watu binafsi wengi watakufaa njaa (tutabaki na matajiri wachache na mafukara wengi sana) Hususan kipindi hiki cha teknolojia ambapo nguvu kazi haiitajiki tena hivyo mabepari wakiwa na vyanzo vyote vya uzalishaji bila kutoa ajira (ujira) dunia as we know it will not be peacefully...; leo hii mtu mmoja anaweza kulisha Tanzania nzima kwa kutumia combined harvester na machines zinazofanya kazi 24/7.....Logikos anapenda uhuru wa kibiashara na masoko; miye kama mtu ninapenda ujamaa na tena ujasiriamali wa kijamii--kwa hivyo, mimi kama mtu inanipasa nimueelewa Logikos mpaka mwisho halafu nijumuishe la Logikos na Langu, sote wawili kama wanajamii wa Tanzania--kwa dhumuni lile lile moja: Maendeleo ya Jamii.
Actually mkuu mimi ninaamini katika Soko Huria..., ila ninajua katika soko huria hilo wakiachiwa mabepari na watu binafsi wengi watakufaa njaa (tutabaki na matajiri wachache na mafukara wengi sana) Hususan kipindi hiki cha teknolojia ambapo nguvu kazi haiitajiki tena hivyo mabepari wakiwa na vyanzo vyote vya uzalishaji bila kutoa ajira (ujira) dunia as we know it will not be peacefully...; leo hii mtu mmoja anaweza kulisha Tanzania nzima kwa kutumia combined harvester na machines zinazofanya kazi 24/7.....
Absolute Poverty anywhere is the threat to Society everywhere...., Kama tuna mifumo yenye ufanisi wa kuzalisha bila uhitaji wa nguvu kazi za watu kuweza kufanya na kulipwa hivyo kujipatia basic need is the recipe for disaster (Ndio maana binafsi ninaamini Capitalism as we know it, it is in its deathbed...
Kwahio mfumo ninaowaza mimi ni atleast kama China (Market Socialism) ila the Utopian Idea ni kuwa na Mali za UMMA /Industries (hususan kwenye huduma na basic needs vilevile commanding heights of the country economy) ila vyote hivyo viwe kwenye soko huru, kama private sector can do it better let them do it for profit; lakini state isiwe mbali to do it for welfare as the main objective...
Ni wagumu sana ila Watashawishiwa mpaka watakubaliumewaza kama ninavyowaza Mimi..
Hapo shida ni nani wa ku-make a move...