Made in Tanzania

Nitaitumia kwenye kampeni yangu ya ubunge mwaka kesho.
 
Wazo ulilonalo ni zuri na utagundua kwamba sio sekta ya madini tu bali sekta mbalimbali nchini zinaweza kuchangiwa na serikali ambayo ni entrepreneurial. Tanzania ina ingiza nchini bidhaa karibia zote zinazotumiwa na wananchi. Hii ina maanisha kwamba kuna mapengo kwenye masoko ya bidhaa tofauti tofauti yanayoweza kuchangiwa na bidhaa zilizo tengenezwa nchini.

Changamoto iliyopo ni kwamba Kwa maelezo yako Una pendekeza serikali iingie kwenye biashara. Labda uwe na utofauti usio wa kawaida au utengeneze bidhaa ambazo hazipatikani sehemu zingine, ushindani upo na ni wa hali ya juu. Huwezi kuwa na uhakika kwamba fedha inayo wekezwa itarudi. Kwasababu hiyo ni risk kubwa Kwa serikali kuchukua mikopo kutekeleza mapendekezo yako. Yaani ni kitu kimoja kufikia hatua ya kutengeneza bidhaa kwenye viwanda lakini ni kitu kingine kabisa kuingiza bidhaa hiyo sokoni na kufanya biashara vizuri Kwa muda wa kama miaka ishirini ijayo

Ni rahisi kidogo kufikiria mapato yanayoweza kutokana na miradi hii lakini ingekuwa sahihi Kwa serikali kupata masoko ya bidhaa hizi kwenye nchi mbalimbali au trade deals Kwanza kabla ya kuwekeza kwenye miradi mikubwa kama hiyo.
 
Uwekeze kwenye trade deals huku huna bidhaa sasa iko sikituko

Maendeleo yanahitaji uwekezaji na sio blah blah na hayanaga shortcut
 
Usinisahau mwanasayansi mwenzako niliyebobea kwenye chemistry na biology tushirikiane kuikomboa nchi yetu
 
Uwekeze kwenye trade deals huku huna bidhaa sasa iko sikituko

Maendeleo yanahitaji uwekezaji na sio blah blah na hayanaga shortcut
Mpango wako unaelezea kuhusu jinsi ya kuwekeza kwenye viwanda vya madini lakini hautoi mwanga kuhusu kitakacho tokea baada ya madini haya kuchakatwa. Je viwanda hivi vitajiendeshaje?, Nani atakuwa mnunuzi mkuu na Kwa muda gani?. Mapendekezo yako yanaweza kufanya taifa linufaike ndani ya muda mfupi lakini vile vile yanaweza kufanya taifa lifilisike ndani ya muda huo huo. Umejaribu kuangalia upande wa pili?
 
Umeme wa uhakika na wa bei nafuu sana ni msingi wa viwanda, lazima kuwe na mpango wa umeme wa mda mrefu wa kuzalisha megawatts nyingi sana za umeme
  • Kwenye viwanda vya awali umeme utakua ni bure ili kufanya raw material zinazozalishwa kwenye hivi viwanda ziuzwe ndani na nje ya nchi kwa bei nafuu
  • Kwenye viwanda vya upili umeme watalipia ila kwa bei nafuu ili kuvutia waekezaji wengi
 
Products from natural gas refinery
  • Methane
  • Hydrogen
  • Butane
  • Propane
  • Ethane
  • Hexane
  • Pentane
 
Saturated natural gas a mixture consist of methane, ethane, propane, butane, pentane, hexane, carbon dioxide and water vapour., will undergo into refinery to be separate and each of them individual has unique uses.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…