Dennis R Shughuru
JF-Expert Member
- May 30, 2024
- 267
- 372
- Thread starter
- #61
Bauxite ambayo hutumika kutengenezea aluminium na native copper zimejaa congo na zambiaSorry je Tanzania tunayo aluminium?
Kutapata ni rahisi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bauxite ambayo hutumika kutengenezea aluminium na native copper zimejaa congo na zambiaSorry je Tanzania tunayo aluminium?
Hakuna jambo ambalo halina changamoto kila jambo lina-changamotoUna wazo zuri tumia elimu yako binafsi kufanikisha, kuitegemea Serikali ya ccm kufanikisha hilo sahau milele na milele.
Nitaitumia kwenye kampeni yangu ya ubunge mwaka kesho.Serikali isikubali kuingia mkataba wa usd billion 42 za mkopo kwa ajili ya mradi mmoja tu wa kutengeneza natural gas refinery
Mfano usd billion 42 unaweza tengeneza miradi ifuatayo na itakua na faida kubwa sana
- Aluminium smelter
- Copper smelter
- Pig iron smelter
- Glass smelter
- Spinning
- Paper pulp
- Oil refinery
- Petrochemical refinery
- Megawatts 8000 za umeme
Hizi unatakiwa uzitumie kwenye kampeni ya uraisNitaitumia kwenye kampeni yangu ya ubunge mwaka kesho.
Uwekeze kwenye trade deals huku huna bidhaa sasa iko sikitukoWazo ulilonalo ni zuri na utagundua kwamba sio sekta ya madini tu bali sekta mbalimbali nchini zinaweza kuchangiwa na serikali ambayo ni entrepreneurial. Tanzania ina ingiza nchini bidhaa karibia zote zinazotumiwa na wananchi. Hii ina maanisha kwamba kuna mapengo kwenye masoko ya bidhaa tofauti tofauti yanayoweza kuchangiwa na bidhaa zilizo tengenezwa nchini.
Changamoto iliyopo ni kwamba Kwa maelezo yako Una pendekeza serikali iingie kwenye biashara. Labda uwe na utofauti usio wa kawaida au utengeneze bidhaa ambazo hazipatikani sehemu zingine, ushindani upo na ni wa hali ya juu. Huwezi kuwa na uhakika kwamba fedha inayo wekezwa itarudi. Kwasababu hiyo ni risk kubwa Kwa serikali kuchukua mikopo kutekeleza mapendekezo yako. Yaani ni kitu kimoja kufikia hatua ya kutengeneza bidhaa kwenye viwanda lakini ni kitu kingine kabisa kuingiza bidhaa hiyo sokoni na kufanya biashara vizuri Kwa muda wa kama miaka ishirini ijayo
Ni rahisi kidogo kufikiria mapato yanayoweza kutokana na miradi hii lakini ingekuwa sahihi Kwa serikali kupata masoko ya bidhaa hizi kwenye nchi mbalimbali au trade deals Kwanza kabla ya kuwekeza kwenye miradi mikubwa kama hiyo.
Usinisahau mwanasayansi mwenzako niliyebobea kwenye chemistry na biology tushirikiane kuikomboa nchi yetu"Made in Tanzania Project"
Jina naitwa Dennis Robert Shughuru elimu bachelor of science in Economics Mzumbe university.
(Ntakua nachanganya kiswahili na kingereza)
Kwa sasa hivi naandika project proposal yenye jina "Made in Tanzania" hakuna mtu, au taasisi ambayo imenituma kufanya hichi nachofanya naifanya kwa sababu naipenda nchi yangu Tanzania.,
Kilichonishawishi kufanya hichi nachofanya sahivi;-
Kuona Tanzania inaondoka na umaskini uliotamalaki kila kona ya nchi, ni matumaini yangu viwanda vya awali vitakamilika na vitavutia ukuaji wa kasi wa viwanda vya upili ambavyo vitaondoa umaskini Tanzania.
Project proposal zitakua 8;-
1. Smelter including pig iron, aluminium, copper, glass, tantalum & nobium powder
2. Spinning plant project
3. Leather tanning plant
4. Paper pulp plant
5. Oil refinery plant
6. Petrochemical plant
7. Semiconductor plant
8. 10,000 megawatts of electricity
Hizi project proposal 8 zitaonyesha namna ya kupata fedha zitakazotumika kujenga viwanda vya awali hapa Tanzania kama nilivyoonyesha hapo juu, na kama njia ya kuufanya uchumi wa Tanzania kuwa na uzalishaji (productive).
Budget nzima ya mradi ni usd billion 71 kwa kila miradi 12 kazi ngumu ni kutafuta kiwango hiki kikubwa cha fedha., inahitajika art kubwa sana kwenye kuandika mpaka kuifanikisha mimi uwezo huo ninao wa kuifanikisha hii kazi kwa asilimia 100.
Mambo ambayo yatakua ndani ya kila project proposal 8 ninazoziandika ni kama yafuatayo;-
Project proposal zinaandaliwa na zikikamilika kila moja itapitia hatua zifuatazo;-
- Namna ya kupata ela ya kujenga kila mradi ambayo ipo 12.
- Namna ya kurudisha ela iliyotumika kuwekeza kwenye hio miradi.
- Namna gani huo mkopo utalipwa bila kuumiza nchi.
- Na kwa namna gani miradi yote hiyo 12 itaweza kutengeneza usd billion 10 na zaidi kama direct revenue baada ya miaka 5 na hiki ni chanzo kipya cha mapato.
- Multiplier effect ya hiyo miradi 12 kwenye uchumi kwa ujumla, na namna serikali itakusanya kodi ya usd billion 50 na zaidi baada ya miaka 5 na hiki ni chanzo kipya cha mapato.
- Namna ya uongozi juu ya hiyo miradi 11 ili ifanikiwe.
- Project proposal zitacomply na sheria za kimataifa (international law).
- Project propsal zitacomply na utunzaji wa mazingira.
Mfano wa malighafi asilia ambazo viwanda vya vya awali vitabadilisha na kuwa malighafi wezeshi ni kama zifuatazo
- Itapelekwa serikalini kwenye wizara husika kujadiliwa na kupitishwa
- Baada ya kupata muhafaka project proposal kila moja itaenda kwa mwanasheria mkuu
- Baada ya kupitishwa na mwanasheria mkuu itapelekwa kwenye baraza la mawaziri
- Baada ya kupitishwa na baraza la mawaziri itapelekwa bungeni
- Baada ya kupitishwa na bunge ita-sainiwa na Rais kila moja iwe sheria
- Baada ya kusainiwa na Rais kazi itaanza
Vifuatavyo ni viwanda vya awali vitavyojengwa hapa Tanzania
- Bauxite
- Iron ore
- Soda ash
- Quartz sand
- Limestone
- Native copper
- Cotton
- Cooking coal (coke)
- Coltan
- Others
FACTORIES CAPACITY Large Pig iron smelter in Africa- Morogoro mjini. Cost:- usd 2 billion Product;- High purity pig iron
Quantity;- 1,500,000 of green pig iron-
Uses
Price of pig iron as a raw material
- Steel making
- Alloy making
- Foundry
- In automotive castings
- Iron based castings
- Cheapest in eastern africa
Large Aluminium smelter in Africa- Mbeya mjini
Cost:- usd 2 billionProducts;-
Quantity;- 500,000 tonnes per year
- Aluminium coil sheet and coil wire
- Aluminium in re-melt ingot
- Billet
- Slab ingotLiquid metal
Uses
Price of aluminium as a raw material
- Electrical cables
- Cooking utensils
- Food packaging
- Beer kegs
- Heat exchangers
- Cheapest in eastern africa
Large Copper smelter in Africa- Sumbawanga mjini
Usd:- usd 2 billionProducts;-
Quantity;- 1,000,000 tonnes per annum
- Copper wire coil,
- ETP and oxygen-free copper bus bars
- Profiles
- Strips
- Sheets /tapes
- Alloys
- Magnet wires
Price of copper as a raw material
- Cheapest in eastern africa
Large Spinning- shinyanga mjini. Cost:- usd 1 billion Products;-
Capacity;- 728,000 spinner,
- Natural yarn
- Artifiacial Yarn
Quantity ;-120 tonne per day
Uses
Price of yarn as a raw material
- To make all type of fabrics
- Cheapest in eastern africa
Large paper pulp plant. Cost: usd 1 billion Product;- Dry paper pulp.
Quantity;- 5 million tonnes of dry paper pulp.
Uses;-
Price of dry pulp as a raw materials
- Paper printouts
- Receipts
- Post-its
- Envelope
- Paper cups
- Napkins
- Toilet rolls
- Tissues
- Cardboard
- Paperboard
- Cheapest in Africa
Large Semiconductor and printed circuited board fabrication in Africa- Moshi mjini. Cost:- usd 15 billion Products;-
Quantity;- 1,000,000 tons
- Silicon wafer
- Printed circuit board fabricated (PCBF)
Uses
Price of silicon wafer as a raw material
- Transistors
- Private circuit board assembly (PCBA)
- Computer chips
- Bank operations
- Transportation
- Communications
- Medical
- Security networks
- Preservation of the global environment.
- Cheapest in eastern africa
Large Leather tanning factory. Cost:- usd 1 billion Product;- Leather. Quantity. 200,000 metres of leather a month Large Oil refinery in East Africa- Tanga mjini. Cost:- usd 15 billion Products;-
Quantity;- 800,000 barrel per day
- Gasoline
- Diesel
- Kerosene
- Jet Fuel
- Heating Oil
- Liquefied Petroleum Gas (LPG)
- Naphtha
- Asphalt
- Petrochemical raw materials
Price of crude oil sub products
- Cheapest in eastern africa
Large pure glass melting furnance plant- Songea. Cost:- usd 1 billion Products;-
Quantity;- 20,000 tonnes of fused silica in 24 hours
- Fused silica
- Fused quartz
- Quartz glass
Uses;-
Price of pure glass as a raw material
- Optical and optoelectronics devices
- Microwave
- Dialectric materials
- Refractory materials
- Commercial glass
- Lighting systems
- Chemical apparatuses
- Cheapest in eastern africa
Large petrochemical plant in Africa- Dar es salaam. Cost:- usd 15 billion Product;-
Quantity;- 100,000 metric tons of engineering plastic compounds
- Ethylene
- Propylene
- Benzene
- Toluene
- Xylenes
- Ammonia
- Methanol
- Polyethylene, Polypropylene (Plastics)
Price of plastic building blocks
- Cheapest in eastern africa
Nobium and tantalum Powder-Tabora. Cost: usd 1 billion Products;-
Price of nobium powder as a rawmaterial
- High purity and low-oxygen tantalum and niobium powder
- Nobium-tin alloy
- Tantalum pentoxide powder
- Nobium oxide powder
- Cheapest in Africa
Large Installation of electricity in east africa. Initial starting 10,000 cost usd 15 billion 10,000 Megawatts of electricity at first and target is 500,000 megawatts in long run
Price of electricity both for industrial and household
• Cheapest in eastern africa
Mfano wa malighafi wezeshi zitakazozalishwa na viwanda vya awali kama nilivyoorodhesha hapo juu;-
- Steel
- Silicon wafer
- Polyethylene
- Thermoplastic polyurethane
- Paper Pulp
- Nyuzi za kutengenezea vitambaa
- Aluminium coil sheet and coil wire
- Copper wire coil
- Others
Faida kubwa ya viwanda vya awali vitachochea ukuaji wa kasi wa viwanda vya upili, ambavyo vitatumia malighafi wezeshi zitakazokua zinazalishwa na viwanda vya awali hapa Tanzania.
Mfano wa viwanda vya upili
- Viwanda vya nguo
- Viwanda vya magari
- Viwanda vya viatu na malapa
- Viwanda vya simu
- Viwanda vya pikipiki
- Viwanda vya bajaji
- Viwanda vya wire (cable)
- Vinginevyo
Mpango wako unaelezea kuhusu jinsi ya kuwekeza kwenye viwanda vya madini lakini hautoi mwanga kuhusu kitakacho tokea baada ya madini haya kuchakatwa. Je viwanda hivi vitajiendeshaje?, Nani atakuwa mnunuzi mkuu na Kwa muda gani?. Mapendekezo yako yanaweza kufanya taifa linufaike ndani ya muda mfupi lakini vile vile yanaweza kufanya taifa lifilisike ndani ya muda huo huo. Umejaribu kuangalia upande wa pili?Uwekeze kwenye trade deals huku huna bidhaa sasa iko sikituko
Maendeleo yanahitaji uwekezaji na sio blah blah na hayanaga shortcut