Ningependa kujua bidhaa zetu za Kitanzania zinazotengenezwa na watanzania. Tuzitaje hapa mahala popote ambapo zipo bila kujali ukubwa wa uzalishaji....
Mimi inaanza;
1. Sabuni za gwanji (nyingi hazina label)
2. Ndala za Masai (nyingi hazina label)
Karibu..