wee thubutuu wataandamana unaweza kuta robo tatu ni wahanga wa madawaItabidi waamrishwe tu kupimwa kwa mfano wanaitwa na mkuu wa mkoa afu waambiwe atoki mtu adi mpimwe matumizi ya madawa
Mkuu we unawajua?
Ila yeye ajahusishwa alikua anaulizwa maoni yake kuhusu swala hilo.
Daah kuna alie pona kweli kwa maceleb wetu wa bongoWanaouliza wanakuwa na maana yao, Madee wanamjua vizuri sana.
Usishangae siku moja kujua kwamba na yeye ni mmoja wa wanufaika wa hii biashara.
Jaribu kufanya assessment ya vitu anavyovimiliki vs muziki anaoufanya utajua nini ni nini.
ok so kwa akili yako fupi kama uchafu wa asubuhi unadhani mwanamuziki anategemea mziki tuu kujikimu ie..je unadhani diamond anategemea mziki tuu?? je unajua biashara nyingine za diamond??kuna biashara nyingine nyingi nje ya muziki tofauti na madawa ya kulevya maa maa akeWanaouliza wanakuwa na maana yao, Madee wanamjua vizuri sana.
Usishangae siku moja kujua kwamba na yeye ni mmoja wa wanufaika wa hii biashara.
Jaribu kufanya assessment ya vitu anavyovimiliki vs muziki anaoufanya utajua nini ni nini.
ok so kwa akili yako fupi kama uchafu wa asubuhi unadhani mwanamuziki anategemea mziki tuu kujikimu ie..je unadhani diamond anategemea mziki tuu?? je unajua biashara nyingine za diamond??kuna biashara nyingine nyingi nje ya muziki tofauti na madawa ya kulevya maa maa ake
Ni kweli huyu anatuzuga ili tusimshtukieMa-Don wa poda anawajua sana anatufanya sie wehu na hizi kelele zake hao wazee watasitisha safari zake za SA maana punda akianza kelele dawa yake ni kumpunguzia safari
Hawana pesa ndio sababu ya kuchoka!Mara ngapi Chidi Benzi amehojiwa akakataa?
TID anakataa, Daz Mwalimu, anakataa wakati unawaona walivyochoka.