Madee amedai angekuwa ameathirika na matumizi ya Madawa ya kulevya, angewataja wanaomuuzia

Poa mkuu, ila jamii sasa inatakiwa ibadilike na kuanza kutaka sheria iwe kali zaidi ili na hao wanaovuta wajumuishwe kwenye hukumu yaani wavutaji au watumiaji nao wawe wahalifu
Sheria inawezekana zipo na nikali ila azifatiliwi tu.
 
Mara ngapi Chidi Benzi amehojiwa akakataa?

TID anakataa, Daz Mwalimu, anakataa wakati unawaona walivyochoka.
Ila yeye ajahusishwa alikua anaulizwa maoni yake kuhusu swala hilo.
 
aisee yani wanakataaga hivi hivi mpaka watakapo zidiwa ndo wanakubali tena kwa kuzunguuka!.....
 
Itabidi waamrishwe tu kupimwa kwa mfano wanaitwa na mkuu wa mkoa afu waambiwe atoki mtu adi mpimwe matumizi ya madawa
 
Ila yeye ajahusishwa alikua anaulizwa maoni yake kuhusu swala hilo.

Wanaouliza wanakuwa na maana yao, Madee wanamjua vizuri sana.

Usishangae siku moja kujua kwamba na yeye ni mmoja wa wanufaika wa hii biashara.

Jaribu kufanya assessment ya vitu anavyovimiliki vs muziki anaoufanya utajua nini ni nini.
 
Daah kuna alie pona kweli kwa maceleb wetu wa bongo
 
Wanaouliza wanakuwa na maana yao, Madee wanamjua vizuri sana.

Usishangae siku moja kujua kwamba na yeye ni mmoja wa wanufaika wa hii biashara.

Jaribu kufanya assessment ya vitu anavyovimiliki vs muziki anaoufanya utajua nini ni nini.
ok so kwa akili yako fupi kama uchafu wa asubuhi unadhani mwanamuziki anategemea mziki tuu kujikimu ie..je unadhani diamond anategemea mziki tuu?? je unajua biashara nyingine za diamond??kuna biashara nyingine nyingi nje ya muziki tofauti na madawa ya kulevya maa maa ake
 
Ha ha ha.

Hiyo tunaita kutema nyongo, utakuwa ni ...!
 
Tumpelekea kwa Chidi amtajie alafu yeye aje awataje hadharani.
 
Ma-Don wa poda anawajua sana anatufanya sie wehu na hizi kelele zake hao wazee watasitisha safari zake za SA maana punda akianza kelele dawa yake ni kumpunguzia safari
 
Ni kweli huyu anatuzuga ili tusimshtukie
 
Wasanii wa bongo wanafiki Sana.....

Ovaaa
 
Back
Top Bottom