Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,107
- 160,001
hahahaaaa! hii imakaa njema......inawaelezea kwa uzuri hawa Generation -YMisanii mingine inaimba ili mradi ipate vina.
Mf. kuna kundi flani waliimba.."MUNGU SI ATHUMANI WALA DEFAOO....BABA JENI ALIPOPATA MAFAOO...
Yani ilimradi tu.
Huyu kijana nina mashaka sana na elimu yake, exposure yake, watu wanaomzuka, mazingira aliyokulia na historia yake.
Lazima tukiyazingatia hayo tutagundua kuwa huyu ni nyani ng'ombe ndani ya mwili wa mwanadamu.
Hana nidhamu, kama hawezi kuheshimu wengine basi hawezi kujiheshimu hata yeye mwenyewe.
Huyu ni mwehu punguani.
Misanii mingine inaimba ili mradi ipate vina.
Mf. kuna kundi flani waliimba.."MUNGU SI ATHUMANI WALA DEFAOO....BABA JENI ALIPOPATA MAFAOO...
Yani ilimradi tu.
Kiranja Mkuu,Huyu kijana nina mashaka sana na elimu yake, exposure yake, watu wanaomzuka, mazingira aliyokulia na historia yake.
Lazima tukiyazingatia hayo tutagundua kuwa huyu ni nyani ng'ombe ndani ya mwili wa mwanadamu.
Hana nidhamu, kama hawezi kuheshimu wengine basi hawezi kujiheshimu hata yeye mwenyewe.
Huyu ni mwehu punguani.
Misanii mingine inaimba ili mradi ipate vina.
Mf. kuna kundi flani waliimba.."MUNGU SI ATHUMANI WALA DEFAOO....BABA JENI ALIPOPATA MAFAOO...
Yani ilimradi tu.
Taratibu usije vunja batani izo......nakumbuka sijui ni karamgi yule kwenye sakata la richmond naye alijifananisha na Yesu....mwingine ni afende zombe nae kwenye kesi yake ivyo ivyo!!yaani alimradi vina vifanane
kwao content ya ujumbe kwenye muziki si muhimu........
hovyo hovyo tuuuu!!!
agrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrr
Its a BLASPHEMY!!!!Madee mwanamuziki wa midundo ya bongo flavor amekufuru kwenye wimbo wake anaosema amepata mateso makali kuliko ya Yesu.
Wakristo wanaamini kuwa hamna mtu amewahi kuteswa kama yesu. Madee akiwa ni muislamu, hakupaswa kulinganisha taabu zake na mateso ya yesu.
Madee amekufuru.
Alafu na yeye apate wapi mkate wake?prodyuza nao binadamu wana matumbo na wanahitaji kula!!Sikulijua hilo.
Sigara zenyewe zinahatarisha kabisa ubongo, hasa ukivutia gazeti lilotoka kufungiwa vitumbua.
Basi , ndio maaana yeye kajiona yuko sahihi kabisa na wala nafsi yake hamsuti hata kidogo.
Ila tatizo haliko kwake peke yake, ila hata kwa produza aliyeutengeneza huo wimbo.
Angeweza kumshauri kubadili mistari au angemwambia aende studio nyingine.
Taratibu usije vunja batani izo......nakumbuka sijui ni karamgi yule kwenye sakata la richmond naye alijifananisha na Yesu....mwingine ni afende zombe nae kwenye kesi yake ivyo ivyo!!
huyu nadhani siku nyingine ajaribu kujilinganisha na ya mtume wa upande wake,nadhani atapigwa mawe mpaka afe,ustaarabu unamshinda dogo