Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
sawa inawezekana hivi wanajamii hakuna watu wanaoteseka mateso zaidi ya huyo yesu acheni utani bwana musilete udini kama vipi tembeleeni maohospitals
Mateso ya Yesu unayajua wewe au unaongea tu!?? Acha hizo mkuu. Ni mateso ya aina yake, hayana ulinganifu ndugu: kukataliwa na watu wake, kudhalilishwa, kusingiziwa mengi, kutukanwa, kupigwa mijeledi, kuvikwa taji la miiba, kupigiliwa misumari msalabani, nk. Haya mateso nani anajilinganisha nayo? Yaani ni ya pekee tu. Ni yake Yesu tu. Kama kuna mtu mwingine kawahi kupata mateso hayo ni yake, si ya kulinganisha na ya Yesu. Yesu ni Yesu na mateso yake; mwanadamu ni mwanadamu na mateso yake.
OK,OK, some of us are of the opinion that "Wanamuziki" wetu wengine wanabwabwaja, na hawako sensitive enough kujua what's virtuous and what's vile.As logical as that argument sound, who are we to tell them what's virtuous and what's vile?
Mimi kama mtetezi wa freedom of speech and expression nitawauliza.
1. Haiwezekani kwa binadamu kuteseka zaidi ya Yesu?
2.Kama inawezekana inakuwaje kosa kwa mtu kusema tu kwamba kateseka zaidi ya Yesu.
After all katika sanaa kuna kitu kinaaitwa poetic license, ndiyo maana unamsikia mtu kma Nas alisema
Nas- The Cross
Now we all know (I take that back, I won't be surpised if some of us don't) the Catholic church's stand on abortion, so Nas not only said that he carries the cross like Jesus, but he "blasphemed" the Virgin Mary by suggesting that if Mary had an abortion he would still triumph, presumably in the place of Jesus.
I hardly heard anybody raising an eyebrow, why? This is Nas, this is Hip Hop, he is supposed to be unorthodox and controversial, if you want hymns listen to your local choir.
Hapa Jigga anamtupia madongo Jehovah
Jay-Z D'Evils
Mifano lukuki.
Hivi msanii wa kibongo akiamua kuandika wimbo kama "Suicidal Thoughts" wa Notorious B.I.G mtaweza kuelewa kwamba ni sehemu ya sanaa au mtawahi kuazini na kupiga fatwa pamoja na kukemea?
Jamani, huyu ni msanii wa bongoflava, si PM wala MP.Huyu yupo kazini na yeye ana constituent yake ambayo inatoa a subtle statement hapo, kwamba fvck religion, fvck Jesus. In some way he is supposed to push the envelope of our societal limits by being bordeline ignorant. Sasa tukianza ku scrutinize kila line ya bongoflava ili iwe sawa na Anselm, Augustine, the apostles and all the prophets badala ya hawa wasanii wa bongoflava kuwa ignorant, sisi tunaowa scrutinize ndio tunakuwa ignorant.
Taarifa nilizozipata hivi punde Msanii huyu amefiwa na Girlfriend wake wa siku nyingi aitwae Pendo katika ajali ya Basi la Shabiby iliyotokea jana...
sasa tumpe pole au? just beginning majibu ya yesu ni faster than expected
wote ni sawa, jaribu kuangalia historia ya maisha yao katika biblia na quran, exactly the same ndugu.
Ok kumbe rahisi hivyo bac madee alimuimba yule wa waislam,fikra potofu huwa na majibu potofuNabii Issa ''masii" wa waislamu ni tofauti na Yesu Kristo wa wakristo. Kwa hiyo epuka kuandika maneno ya kusikika, katafute msaafu wa waislamu na biblia ya wakristo soma watu hawa wawili. Aliyepo wa waislamu ni upotofu kwa yule anaye elezewa wa wakristo.
saaana tuu tena anaona aharakishe akapate tena majani!!!:smile-big::smile-big::smile-big:hii ndio shida ya kutunga mistari wakati unatoka kupata marijuana, kila kitu unaona kinafaa kusema