OK,OK, some of us are of the opinion that "Wanamuziki" wetu wengine wanabwabwaja, na hawako sensitive enough kujua what's virtuous and what's vile.As logical as that argument sound, who are we to tell them what's virtuous and what's vile?
Mimi kama mtetezi wa freedom of speech and expression nitawauliza.
1. Haiwezekani kwa binadamu kuteseka zaidi ya Yesu?
2.Kama inawezekana inakuwaje kosa kwa mtu kusema tu kwamba kateseka zaidi ya Yesu.
After all katika sanaa kuna kitu kinaaitwa poetic license, ndiyo maana unamsikia mtu kma Nas alisema
I carry the cross, if Virgin Mary had an abortion
I'd still be carred in the chariot by stampeding horses
Nas- The Cross
Now we all know (I take that back, I won't be surpised if some of us don't) the Catholic church's stand on abortion, so Nas not only said that he carries the cross like Jesus, but he "blasphemed" the Virgin Mary by suggesting that if Mary had an abortion he would still triumph, presumably in the place of Jesus.
I hardly heard anybody raising an eyebrow, why? This is Nas, this is Hip Hop, he is supposed to be unorthodox and controversial, if you want hymns listen to your local choir.
Hapa Jigga anamtupia madongo Jehovah
And even if Jehovah witness, bet he'll never testify, D'Evils
Jay-Z D'Evils
Mifano lukuki.
Hivi msanii wa kibongo akiamua kuandika wimbo kama "Suicidal Thoughts" wa Notorious B.I.G mtaweza kuelewa kwamba ni sehemu ya sanaa au mtawahi kuazini na kupiga fatwa pamoja na kukemea?
Jamani, huyu ni msanii wa bongoflava, si PM wala MP.Huyu yupo kazini na yeye ana constituent yake ambayo inatoa a subtle statement hapo, kwamba fvck religion, fvck Jesus. In some way he is supposed to push the envelope of our societal limits by being bordeline ignorant. Sasa tukianza ku scrutinize kila line ya bongoflava ili iwe sawa na Anselm, Augustine, the apostles and all the prophets badala ya hawa wasanii wa bongoflava kuwa ignorant, sisi tunaowa scrutinize ndio tunakuwa ignorant.