Madee amzawadia Dogo Janja Gari aina ya Benzi

Usinisahau chorus


Chorus tu usiogope. Bongo Fleva mbona easy tu, nimeona video moja jamaa sijui kashoot mitaa ya Kino, maana kakaa juu ya gari pembeni kuna raia kibaaao wanashangaa. Basi yeye kuanzia mwanzo mpaka mwisho anaimba tu, "switi switi switi switi swiiiti". Lakini kiduku kimetulia.
 
Hizi tunaziita kiki za msimu... Ni njia moja au nyingine ya kupromote ujio wa dogo janja. Dogo nae kajitahidi ngoma nzr nakushauri kaza buti,
Ila ujinga wa kupeana magari nyumba huna acheni. Hao ndo wazee wa fitina mjini hapa TipTop
 

Mkuu umeniua switi switi
 
Magari yenyewe haya ya wasanii hata kodi huwa hayajalipiwa ni baadhi ya majipu..angempa zawadi ambayo ni asset sio gari ni liability!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…