PAGAN
JF-Expert Member
- Aug 19, 2014
- 12,181
- 20,148
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Usinisahau chorusSingle moja unapata Benz? Kumbe Bongo Fleva inalipa, ngoja na Mimi nianze kuandika mistari
Usinisahau chorus
Mtama kwa watoto.Hivi gari ndio zawadi nzuri kubwa kuliko?
Hiyo Benz ni A-Class? Nyumba cost yake si ya kitoto...Angemnunulia kiwanja hata chanika.Sasa wameamua kumfariji, kwa nini wasimjengee nyumba?
Chorus tu usiogope. Bongo Fleva mbona easy tu, nimeona video moja jamaa sijui kashoot mitaa ya Kino, maana kakaa juu ya gari pembeni kuna raia kibaaao wanashangaa. Basi yeye kuanzia mwanzo mpaka mwisho anaimba tu, "switi switi switi switi swiiiti". Lakini kiduku kimetulia.
Mini Pajero Benz mkuu.Benz aina gani?!