"asiyehusika na hiphop, atoke" by maalim nashkama ameamua kuuacha mziki wetu asitukashifu kwamba tunaoupenda ni wahuni na machizi atuheshimu huyo
mkuu huyu madee alikuwa hafanyi hiphop ila alikuwa anafanya "taarabu kwa kurap" yeye alikuwa na kazi ya kumdisi afande sele tu.Hivi Madee naye alikuwa anafanya Hip Hop?
"wanadata mapaparazi na mabishoo, napataje doo/ na sitangazwi kwenye mashow/ wanajiuliza nayapata wapi mafao/ kumbe ukitoa rap me nina HARAKATI kibao" by p the mcBasi kama HiP Hop haipo kibiashara inabidi msanii wa hip hop awe anafanya shughuli ingine ya kumuingizia kipato na kulea familia kama anayo na kufanya itikadi za hip hop kinyume na hapo ni maisha magumu kwenda mbele kitu ambacho wasanii wengi hawakitambui
mkuu hii ndo bongo, watu wanaofanya vitu vya maana HAWAFANIKIWI na wanaofanya vitu vya hovyo ndo WANAOFANIKIWA , nash mc anaimba wimbo kuhusu SUMATRA kupandisha hovyo nauli za usafiri lakini anaishia kupigwa ban na BASATA, lakini mwangalie mtu kama chibu dangote na nyimbo zake za ngororo anavyouza.Mkuu mbona mbona unyamwezini wakina jay z, kanye, dr dre na drake wanapiga pesa ndefu sana
hahaha sasa hapo unautani na sugu.Hip pope ni muziki wa masela wavuta bange
huyo huyo afande sele kamsikilize kwenye nyimbo yake ya "dini tuliletewa" harafu uje utuambie hiyo bange yake iko wapAfande Sele ni kielelezo tosha cha Muziki huo
Katika kufaulu kwa Harmonize kuna wasanii wanaoimba kama yeye zaidi ya 200 ambao bado wanasota.Wadau wakubwa wa muziki wanachangia sana kukandamiza Hip Hop,mwanzo kabisa Hip Hop ilikuwa na mashabiki/wafuasi wengi (Prof J,JMoe,Solo Thang,KU,SUGU,Xplastaz,MwanaFa,GK,Ngwair) wote walikuwa wanafanya Hip Hop.Mfumo wa biashara uliopo wasanii wa taarab,dansi,gospel,bongofleva,hiphop wote wanapata mapato kidogo tofauti na wanayostahili.Kibaya zaidi wanaofanikiwa sik hizi wanacopy muziki wa South Africa na West Africa(Madee,Chege,Sheta na wengineo)Ndo ninapoipendea JF! Yaani mtu na story za online anaweza kumbishia anayeishi real life ya somo husika! Kusoma hatujui; hata picha hatuoni? Alochosema Madee ni ukweli mtupu! Huyu Harmonize ni wa juzi tu hapa lakini c ajabu keshawapiga gap baadhi wasanii wakongwe wanaofanya hip hop!
Kuna hoja ya kwamba Hip Hop ni muziki wa harakati! It's true lakini hiyo haimaanishi kwamba there's no need for economic success kupitia hip hop! Na ndio maana, hata enzi hizo (United States) wakati hip hop ilipokuwa kweli hip hop bado muziki haukuishia radio station to be played for free bali uliingizwa sokoni na kutengeneza big fortunes kwa hip hop artists!
Kwahiyo stop talking about written hip hop theories but let's get to reality ambayo ndiyo hasa anayoizungumzia Madee.
Mkuu chunguza kwa makini chukua top 5 ya wasanii mbele wenye pesa utagundua kina dre..Diddy..50 hawa make mpunga direct kwa muziki..Jay sjajaua ila hao wengine ni njeeMkuu mbona mbona unyamwezini wakina jay z, kanye, dr dre na drake wanapiga pesa ndefu sana
Punguza jazba..mchezo huu hautaki hasira.kama wewe mfuatiliaji wa matamasha ni muziki gani unarusha watu live.wafanye matamasha yao bila ya watu wa hip hop waone watakavyokula za uso.fa.fid.Joe. blue.Mr 2.Prof. Nature.Jay Moe nk bado wako kwenye game nitajie watu wa enzi hizo wa kuimba wako wapi. Hip hop imetoa wabunge. Masters kibao.PhD. Medical doctors .wabana pua wamefanya nini..wanawabania kwa sababu ya inferiority complex si umeona wakina fa walivyokomaa mahakamani ,wabana pua wanaweza ..Hip hop is not dead we got itNikuulize swali moja,
Nyumbani kwako una CD ngapi original za bongo rap ulizonunua?
Ndo ninapoipendea JF! Yaani mtu na story za online anaweza kumbishia anayeishi real life ya somo husika! Kusoma hatujui; hata picha hatuoni? Alochosema Madee ni ukweli mtupu! Huyu Harmonize ni wa juzi tu hapa lakini c ajabu keshawapiga gap baadhi wasanii wakongwe wanaofanya hip hop!
Kuna hoja ya kwamba Hip Hop ni muziki wa harakati! It's true lakini hiyo haimaanishi kwamba there's no need for economic success kupitia hip hop! Na ndio maana, hata enzi hizo (United States) wakati hip hop ilipokuwa kweli hip hop bado muziki haukuishia radio station to be played for free bali uliingizwa sokoni na kutengeneza big fortunes kwa hip hop artists!
Kwahiyo stop talking about written hip hop theories but let's get to reality ambayo ndiyo hasa anayoizungumzia Madee.
Kweli mkuu,mana ukiangalia zamani waasisi wa hiphop bongo hawakuwai kuweka maisha yao yote kwenye mziki tu,wengi wao walikuwa wakisoma halafu ni watoto wa kishua maana wenyewe walianza kurap kwa kingereza kama kina Dogo Hashimu,huku wanaimba hukuwanafanya mambo yao mengine ya maisha ikiwe kusoma,ndo mana watu kama Dogo,Fid Q,Mwana FA ni ngumu kuyumba mana wanapo pakushika,lakini kadri tulipokua tunaenda mbele ndo wakaibuka wale wa uswahili akina bin kiroboto,The rate ngwair na O Ten watu kama hawa ni lazma kama hujajiweka sawa ungeyumba tu mana umejikita tu kwenye mziki na huna nguzo nyingine ya kushika,Madee ashkuru management inambeba mana hata wenzie wanaweza kubadilika kama anavyojinadi yeye.Basi kama HiP Hop haipo kibiashara inabidi msanii wa hip hop awe anafanya shughuli ingine ya kumuingizia kipato na kulea familia kama anayo na kufanya itikadi za hip hop kinyume na hapo ni maisha magumu kwenda mbele kitu ambacho wasanii wengi hawakitambui
kwani wahuni wanapenda muziki gani.... dance, taarab au mchiriku....?
kama maana ya wahuni ni ile niijuayo mimi basi kweli wahuni ndo wapenda hiphop.... au wewe unawafahamu wahuni wanaopenda singeli