Madee: Muziki wa hip hop bongo unapendwa na wahuni ambao hawawezi nunua kazi za wasanii

Madee: Muziki wa hip hop bongo unapendwa na wahuni ambao hawawezi nunua kazi za wasanii

kama ameamua kuuacha mziki wetu asitukashifu kwamba tunaoupenda ni wahuni na machizi atuheshimu huyo
"asiyehusika na hiphop, atoke" by maalim nash
 
Hivi Madee naye alikuwa anafanya Hip Hop?
mkuu huyu madee alikuwa hafanyi hiphop ila alikuwa anafanya "taarabu kwa kurap" yeye alikuwa na kazi ya kumdisi afande sele tu.
 
Basi kama HiP Hop haipo kibiashara inabidi msanii wa hip hop awe anafanya shughuli ingine ya kumuingizia kipato na kulea familia kama anayo na kufanya itikadi za hip hop kinyume na hapo ni maisha magumu kwenda mbele kitu ambacho wasanii wengi hawakitambui
"wanadata mapaparazi na mabishoo, napataje doo/ na sitangazwi kwenye mashow/ wanajiuliza nayapata wapi mafao/ kumbe ukitoa rap me nina HARAKATI kibao" by p the mc
 
Mkuu mbona mbona unyamwezini wakina jay z, kanye, dr dre na drake wanapiga pesa ndefu sana
mkuu hii ndo bongo, watu wanaofanya vitu vya maana HAWAFANIKIWI na wanaofanya vitu vya hovyo ndo WANAOFANIKIWA , nash mc anaimba wimbo kuhusu SUMATRA kupandisha hovyo nauli za usafiri lakini anaishia kupigwa ban na BASATA, lakini mwangalie mtu kama chibu dangote na nyimbo zake za ngororo anavyouza.
 
Ndo ninapoipendea JF! Yaani mtu na story za online anaweza kumbishia anayeishi real life ya somo husika! Kusoma hatujui; hata picha hatuoni? Alochosema Madee ni ukweli mtupu! Huyu Harmonize ni wa juzi tu hapa lakini c ajabu keshawapiga gap baadhi wasanii wakongwe wanaofanya hip hop!

Kuna hoja ya kwamba Hip Hop ni muziki wa harakati! It's true lakini hiyo haimaanishi kwamba there's no need for economic success kupitia hip hop! Na ndio maana, hata enzi hizo (United States) wakati hip hop ilipokuwa kweli hip hop bado muziki haukuishia radio station to be played for free bali uliingizwa sokoni na kutengeneza big fortunes kwa hip hop artists!

Kwahiyo stop talking about written hip hop theories but let's get to reality ambayo ndiyo hasa anayoizungumzia Madee.
 
Utamaduni ni mfumo mzima wa maisha ya mwanadamu wa kila siku unajumuisha vile unaishi kuanzia unaamka mpaka unarudi kulala,Hip Hop ni utamaduni ambao unajitegemea una misingi yake ili uwe muumini wa utamaduni huu lazima uishi ndani ya utamaduni huu wengi wanajaribu kufuata angalau nguzo moja tena bila kuijua vema tayari anapiga kelele mtaani kua anaishi ndani ya huu utamaduni bado naamini Madee and the like hawajawahi kuishi kwenye utamaduni huu ndio maana wanaropoka maana Hip hop ukiishi hauwezi kukimbilia kua inakufanya uwe maskini maana haipo kukusaidia wewe pekee ako ila jamii inayokuzunguka harakati sio kumkombia mtu mweusi tu maana hii stage ishavukwa angalau bado jamii ina matatizo kama HIV/AIDS,rushwa,elimu,kushuka kwa maadili ni jukumu la waliomo kwenye huu utamaduni kupitia nguzo zake kusaidia kupunguza matatizo hayo.
Emceen' ni nguzo ya Hip Hop dhumuni la nguzo hii ni kuwasilisha mawazo ya jamii katika mtindo unique ndio maana tuna sema Hip hop cycle ili hili litimie basi inabidi Mcee 1.achukue wazo la mtaani mfn(maisha magumu) alafu 2.apeleke wazo studio ili kuongeza ladha na mwisho 3.wazo lirudi mtaani kwa wale watu ili liwajenge na liweze kuwakwamua toka kwenye tatizo,ukiangali hii cycle hakuna sehemu ambayo Mcee anatakiwa awaze kuhusu mafanikio yake binafsi ya kifedha ila ni ukumbozi unatangulia ILA ikitokea mafanikio ya kiuchumi yamekuja sio dhambi ila sio primary target jambo la msingi walio ndani ya utamaduni huu wawe na means nyingine ya kujijenga kiuchumi wasikae wakasubiri utamaduni uwape utajiri.
Kusuburi Hip Hop ikupe utajiri ni kama Sheikh au Padre kutegemea kuwa tajiri kupitia Dini,Madee asante kwa kuwaita WAHUNI wale wanaoamini kwenye huu utamaduni sio mbaya maisha yanaendelea.
 
Ndo ninapoipendea JF! Yaani mtu na story za online anaweza kumbishia anayeishi real life ya somo husika! Kusoma hatujui; hata picha hatuoni? Alochosema Madee ni ukweli mtupu! Huyu Harmonize ni wa juzi tu hapa lakini c ajabu keshawapiga gap baadhi wasanii wakongwe wanaofanya hip hop!

Kuna hoja ya kwamba Hip Hop ni muziki wa harakati! It's true lakini hiyo haimaanishi kwamba there's no need for economic success kupitia hip hop! Na ndio maana, hata enzi hizo (United States) wakati hip hop ilipokuwa kweli hip hop bado muziki haukuishia radio station to be played for free bali uliingizwa sokoni na kutengeneza big fortunes kwa hip hop artists!

Kwahiyo stop talking about written hip hop theories but let's get to reality ambayo ndiyo hasa anayoizungumzia Madee.
Katika kufaulu kwa Harmonize kuna wasanii wanaoimba kama yeye zaidi ya 200 ambao bado wanasota.Wadau wakubwa wa muziki wanachangia sana kukandamiza Hip Hop,mwanzo kabisa Hip Hop ilikuwa na mashabiki/wafuasi wengi (Prof J,JMoe,Solo Thang,KU,SUGU,Xplastaz,MwanaFa,GK,Ngwair) wote walikuwa wanafanya Hip Hop.Mfumo wa biashara uliopo wasanii wa taarab,dansi,gospel,bongofleva,hiphop wote wanapata mapato kidogo tofauti na wanayostahili.Kibaya zaidi wanaofanikiwa sik hizi wanacopy muziki wa South Africa na West Africa(Madee,Chege,Sheta na wengineo)
 
Mkuu mbona mbona unyamwezini wakina jay z, kanye, dr dre na drake wanapiga pesa ndefu sana
Mkuu chunguza kwa makini chukua top 5 ya wasanii mbele wenye pesa utagundua kina dre..Diddy..50 hawa make mpunga direct kwa muziki..Jay sjajaua ila hao wengine ni njee
 
Ila pia hata madee...kakosea kusema kununua kazi. Ni msanii gani bongo anauza kazi cd..album's? Wanapiga pesa kwenye shows..na mikataba tu
 
Nikuulize swali moja,
Nyumbani kwako una CD ngapi original za bongo rap ulizonunua?
Punguza jazba..mchezo huu hautaki hasira.kama wewe mfuatiliaji wa matamasha ni muziki gani unarusha watu live.wafanye matamasha yao bila ya watu wa hip hop waone watakavyokula za uso.fa.fid.Joe. blue.Mr 2.Prof. Nature.Jay Moe nk bado wako kwenye game nitajie watu wa enzi hizo wa kuimba wako wapi. Hip hop imetoa wabunge. Masters kibao.PhD. Medical doctors .wabana pua wamefanya nini..wanawabania kwa sababu ya inferiority complex si umeona wakina fa walivyokomaa mahakamani ,wabana pua wanaweza ..Hip hop is not dead we got it
 
Team mifuko. ..
Ndo ninapoipendea JF! Yaani mtu na story za online anaweza kumbishia anayeishi real life ya somo husika! Kusoma hatujui; hata picha hatuoni? Alochosema Madee ni ukweli mtupu! Huyu Harmonize ni wa juzi tu hapa lakini c ajabu keshawapiga gap baadhi wasanii wakongwe wanaofanya hip hop!

Kuna hoja ya kwamba Hip Hop ni muziki wa harakati! It's true lakini hiyo haimaanishi kwamba there's no need for economic success kupitia hip hop! Na ndio maana, hata enzi hizo (United States) wakati hip hop ilipokuwa kweli hip hop bado muziki haukuishia radio station to be played for free bali uliingizwa sokoni na kutengeneza big fortunes kwa hip hop artists!

Kwahiyo stop talking about written hip hop theories but let's get to reality ambayo ndiyo hasa anayoizungumzia Madee.
 
Kitu ambacho mwanasiasa anasema ukweli ni jina lake tu.hii imekaa sawa sawa
 
Basi kama HiP Hop haipo kibiashara inabidi msanii wa hip hop awe anafanya shughuli ingine ya kumuingizia kipato na kulea familia kama anayo na kufanya itikadi za hip hop kinyume na hapo ni maisha magumu kwenda mbele kitu ambacho wasanii wengi hawakitambui
Kweli mkuu,mana ukiangalia zamani waasisi wa hiphop bongo hawakuwai kuweka maisha yao yote kwenye mziki tu,wengi wao walikuwa wakisoma halafu ni watoto wa kishua maana wenyewe walianza kurap kwa kingereza kama kina Dogo Hashimu,huku wanaimba hukuwanafanya mambo yao mengine ya maisha ikiwe kusoma,ndo mana watu kama Dogo,Fid Q,Mwana FA ni ngumu kuyumba mana wanapo pakushika,lakini kadri tulipokua tunaenda mbele ndo wakaibuka wale wa uswahili akina bin kiroboto,The rate ngwair na O Ten watu kama hawa ni lazma kama hujajiweka sawa ungeyumba tu mana umejikita tu kwenye mziki na huna nguzo nyingine ya kushika,Madee ashkuru management inambeba mana hata wenzie wanaweza kubadilika kama anavyojinadi yeye.
 
Kwahiyo hata wanawake ni wahuni?kumbuka akina Wema wa wakati ule (Sinta) kama unamjua aliwahi kuzama ktk penzi la mwana_hip hop Juma Nature. Huyo Sugu ndio hata sisemi, kawatafuna mno masista duu kwasababu tu waliukubali mziki wake. Isitoshe ni kwasababu ya hip hop ndio maana Sugu na Professor Jay wapo mjengoni, wanaharakati hao. Hilo hitimisho tosha kwamba hip hop unakubalika na watu wa matabaka mbalimbali nchini kwasababu ya ujumbe wake.
kwani wahuni wanapenda muziki gani.... dance, taarab au mchiriku....?

kama maana ya wahuni ni ile niijuayo mimi basi kweli wahuni ndo wapenda hiphop.... au wewe unawafahamu wahuni wanaopenda singeli
 
Back
Top Bottom