Sio kazi rahisi kwa sababu hakuna uthibitisho na Dola inawalinda sana. Lakini Wananchi (Mob)wanaangalia mwizi wa papo kwa hapo au Red handed. Na wanatoa hukumu ya papo hapo - hakuna longolongo. Ndani ya robo saa tu mchezo umeisha.Hivi wale wanaoiba mabilion kwa matrilion wananchi wanaweza kuwafata
Ova
Bado hayajakukuta, nakumbuka siku moja alfajiri kabisa naikuta kesi sehemu mwanamama analia hajiwezi, vibaka wamemuotea wamemuibia pesa, simu na kila kitu, kibaya zaidi wamemkata kata na viwembe, maumivu ya viwembe hayahisi kilio chake ni zile hela, ni milioni na ushehe zilikuwa kwa ajili ya operation ya mama yake mzazi na mpaka kaipata hiyo hela ni kakopa kopa saana, atazitolea wapi, sipati picha yule mama akimoata mwizi atamtendea nini.Kwenda hata ukiibiwa ñdo uue.
Nimeiba sana samaki WA rangi kwa kuweka mdomoni halafu naenda kutema kwenye kweramu langu Enzi hizo
Na hao wezi,mafisadi,wanaoiba Mali pesa za umma wanaweza pia wakaibiwa na kuporwa fedhaSio kazi rahisi kwa sababu hakuna uthibitisho na Dola inawalinda sana. Lakini Wananchi (Mob)wanaangalia mwizi wa papo kwa hapo au Red handed. Na wanatoa hukumu ya papo hapo - hakuna longolongo. Ndani ya robo saa tu mchezo umeisha.
Kama nilivodokeza hapo; Hao Mafia watakuwa wanapambana na dola inayowalinda hao wezi, mafisadi na wanaoiba mali na pesa za umma kwa mwamvuli wa tuhuma za Kujichukulia Sheria mkononi. Kwani broo, kuna waliofikishwa mbele ya Mahakama ya mafisadi tangu ianzishwe?Na hao wezi,mafisadi,wanaoiba Mali pesa za umma wanaweza pia wakaibiwa na kuporwa fedha
Kimafia tu,ni kundi maalum lowepo liwafanyie umafia huo
Ova