Kifo cha mwangosi kimenigusa zaidi kuliko huyo floydKwahiyo yeye kilichotokea hakimgusi yaani kihivyo
Kifo cha mwangosi kimenigusa zaidi kuliko huyo floyd
AseeMad akili zake zina karibia expire date... Hapo ka scratch ndo akaambulia alicho post.
Naungana na madee, pale kilichotokea ni askari kutokufata misingi ya kazi yake naamini angeweza kumfanyia hata mzungu mwenzie, bongo hapa kila siku watuhumiwa wanapigwa na maaskari na wengine tunaambiwa wamejinyonga wakiwa selo
Mimi binafsi naendelea kutaka kujua majibu huo ubaguzi pale ulikua wapi? Suala la askari kutofata misingi ya kazi ni tatizo sugu ambalo lipo nchi nyingi. Lakini kugeuzwa kuwa ni tukio la kibaguzi bado mim nashindwa kufahamu, au kwa kuwa mtenda alikua white na mtendewa alikua black ndio tayari ndio ubaguzi?
Hii dunia siku hizi ina mambo ya ajabu sana, watu wengi wanaishi kwa mihemko tu