Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mimi nafikiri kwa suala la George Floyd wenye hisia za ubaguzi ni watu weusi. Kwanini wasichukulie tu kwamba Floyd ameuwawa na askari wanaangalia rangi ya askari aliyehusika? Kama Floyd angeuwawa na askari mweusi ingekuwaje hapo?
Wale saba waliouliwa Mikocheni mbona mlipiga kimya ..kujipendekeza kwa mabeberu tu wakati hao black Americans wanatuona mavi ya popoKwahiyo yeye kilichotokea hakimgusi yaani kihivyo
Mimi nafikiri kwa suala la George Floyd wenye hisia za ubaguzi ni watu weusi. Kwanini wasichukulie tu kwamba Floyd ameuwawa na askari wanaangalia rangi ya askari aliyehusika? Kama Floyd angeuwawa na askari mweusi ingekuwaje hapo?
Pamoja na kupata raisi Mwafrika kwa miaka 8?Mkuu sio George Floyd tu, ni suala la muda mrefu sana. Kama ilivyo kwa instutions nyingine, huko Marekani Police department inatumika sana kuwakandamiza watu weusi. Usichulie hili swala kijuujuu tu. Watu wanabaguliwa kwa ajili ya rangi ya ngozi sana tu.
Kuna weusi na weupe wengi Marekani pia hawaamini kile kifo Ni kutokana na ubaguzi,yeye yuko manzese, anamaana kwamba waandamani wote, kutoka miji yote mikubwa ya marekani ni wapuuzi, yeye anauelewa na ubaguzi kuliko wao,,,anamaanisha ikibidi waje kwake awape kozi juu ya ubaguzi wa rangi, huku ye yuko manzese wao wako frontline na ubaguzi wa rangi
Hahaha kabisa mkuuu zero brain uyoUkikaa tu Manzese maisha yako yote inaweza kuchangia kutoa maoni kama haya.
Yeye ipo tu na kina dogo janja wanakula bangi sasa iyo akili ataipata wapiKama kweli kazungumza na kumaanisha hiki ninachokiona, basi ni wazi kabisa huyo Madee ni kiazi kikuu.
Itakuwa vilaza wenzake wa manzese kwa mfuga mbwa.kwani huyu Rais alichaguliwa na na wananchi wa wapi?!!
Issue kubwa ni Police brutality towards black american... rangi ya police inakuja baadae. Na huo ukatili wa police ndo umehemsha hisia za ubaguzi baada ya matukio kuwa mengi ya police kuwadhuru weusi kuliko weupe. Na kama George alikua mharifu kuna taratibu za kumkamata na kwenda thibitisha uhalifu wake sio kumkaba kwa goti wakati umeshamfunga pingu.Mimi nafikiri kwa suala la George Floyd wenye hisia za ubaguzi ni watu weusi. Kwanini wasichukulie tu kwamba Floyd ameuwawa na askari wanaangalia rangi ya askari aliyehusika? Kama Floyd angeuwawa na askari mweusi ingekuwaje hapo?
Na yeye shenzi type.Rais wa Manzese Madee Ali amesema kuwa haamini kwenye ubaguzi wa Rangi unaotajwa kuendelea Duniani na hata George Floyd inawezekana alikuwa mhalifu.
Madee amezungumza hayo kupitia kipinfi cha XXL cha *CloudsFm. Nikimnukuu Madee "Siamini kwenye ubaguzi wa rangi, hata yule jamaa aliyekatishwa uhai wake Marekani inawezekana alikuwa Mhalifu".
Eti haki za mtu mweusi duniani.Wewe unashindwa kuelewa, swala hili la kifo cha George Floyd limeamsha upya mapambano dhidi ya ubaguzi wa rangi. Hata kama hukuguswa na kifo chake moja kwa moja, lakini jina lake linatumika na wapigania haki za watu weusi Duniani.
Eti haki za mtu mweusi duniani.
Hivi huku Afrika mnavyouana wenyewe kwa wenyewe mamia kwa mamia nako kuna polisi wa kizungu ?