Madega ashtushwa na mwekezaji GSM kuwa Rais wa Yanga

OKW BOBAN SUNZU

Platinum Member
Joined
Aug 24, 2011
Posts
53,868
Reaction score
121,001
Mwenyekiti wa zamani wa Yanga, Imani Madega kuhusiana na Injinia Hersi kuwania Urais wa Yanga….

Kwa sababu Yanga wengi ni mazuzu, watamshambulia Madega. Madega ana hoja nzito sana.
Your browser is not able to display this video.
 

Kwa sababu Yanga wengi ni mazuzu, watamshambulia Madega. Madega ana hoja nzito sana.
Simba kazi mnayo mnamuogopa sana GS, sisi tutampa huyo huyo urais Injinia Hersi Saidi kiboko ya Makolo . Huyu GSM siyo bahili kama Hindi ndiyo maana Makolo wanamgwaya na kumuhofia sana.

Yanga ina kikosi imara na bado unafanya usajili wa maana GSM hawataki mchezo mchezo ni Back to Back mpaka Makolo mkome
 
Hersi kawazidi akili mpka kawasajilia kulwa kikumba
 
Huna hoja wewe makele tyuu aongee raisi wenu wa zamaniii mumtaje simba kafikaje sasa ukoooo
 
Msimu ujao mtaishangilia YANGA mpende msipende
 
Nakumbuka walivyokuwa wanamuogopa Yusuph Mehbib Manji mpaka wakamfanyia figisu za kumfilisi na kumfunga.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…