Madega ashtushwa na mwekezaji GSM kuwa Rais wa Yanga

Kwa sababu Yanga wengi ni mazuzu, watamshambulia Madega. Madega ana hoja nzito sana.

Simba kazi mnayo mnamuogopa sana GS, sisi tutampa huyo huyo urais Injinia Hersi Saidi kiboko ya Makolo . Huyu GSM siyo bahili kama Hindi ndiyo maana Makolo wanamgwaya na kumuhofia sana.

Yanga ina kikosi imara na bado unafanya usajili wa maana GSM hawataki mchezo mchezo ni Back to Back mpaka Makolo mkome
 
Simba kazi mnayo mnamuogopa sana GS, sisi tutampa huyo huyo urais Injinia Hersi Saidi kiboko ya Makolo . Huyu GSM siyo bahili kama Hindi ndiyo maana Makolo wanamgwaya na kumuhofia sana.Yanga ina kikosi imara na bado unafanya usajili wa maana GSM hawataki mchezo mchezo ni Back to Back mpaka Makolo mkome
Hersi kawazidi akili mpka kawasajilia kulwa kikumba
20220617_095225.jpg
 
Simba kazi mnayo mnamuogopa sana GS, sisi tutampa huyo huyo urais Injinia Hersi Saidi kiboko ya Makolo . Huyu GSM siyo bahili kama Hindi ndiyo maana Makolo wanamgwaya na kumuhofia sana.Yanga ina kikosi imara na bado unafanya usajili wa maana GSM hawataki mchezo mchezo ni Back to Back mpaka Makolo mkome
Huna hoja wewe makele tyuu aongee raisi wenu wa zamaniii mumtaje simba kafikaje sasa ukoooo
 
Msimu ujao mtaishangilia YANGA mpende msipende
 
Simba kazi mnayo mnamuogopa sana GS, sisi tutampa huyo huyo urais Injinia Hersi Saidi kiboko ya Makolo . Huyu GSM siyo bahili kama Hindi ndiyo maana Makolo wanamgwaya na kumuhofia sana.Yanga ina kikosi imara na bado unafanya usajili wa maana GSM hawataki mchezo mchezo ni Back to Back mpaka Makolo mkome
Nakumbuka walivyokuwa wanamuogopa Yusuph Mehbib Manji mpaka wakamfanyia figisu za kumfilisi na kumfunga.
 
Back
Top Bottom