Madega, Mwakalebela walace karia hawastahili kuwa marais TFF

eden kimario

JF-Expert Member
Joined
Jun 13, 2015
Posts
10,356
Reaction score
16,379
Watu hawa wamechukua form za kuwania urais Tff ni haki yao kabisa ila hakuna mtu asiewajua
Hawajawahi kufanikisha chochote cha maana tangu wakae katika soka

Mwakalebela aliwahi kuwa katibu wa Tff lakini maendeleo ya mpira wetu bado yalikuwa nyuma

Madega aliwahi kuwa mwenyekiti wa Yanga lakini hakuna cha kukumbukwa alichoifanyia yanga

Walace karia huyu pia hafai kuwa rais wa TFF hakuna jipya lolote alilofanya tangu awe pale Tff zaidi ya mpira wetu kushuka tu

Mpaka leo hatuna cha kujivunia tunalilia bahati tu
Utafikiri mpira wa miguu ni bahati

Walace,madega, mwakalebela hakuna hata mmoja mwenye nia ya kuupeleka mpira wetu mbele kwenye mafanikio
 
inawezekana, pia nadhani hakuna mipango ahususi yakuendeleza mpira , ni wakati muafaka kwa wapiga kura kuvaa ualendo kwanza
 
Watu hawa wamechukua form za kuwania urais Tff ni haki yao kabisa ila hakuna mtu asiewajua
Hawajawahi kufanikisha chochote cha maana tangu wakae katika soka

Mwakalebela aliwahi kuwa katibu wa Tff lakini maendeleo ya mpira wetu bado yalikuwa nyuma

Madega aliwahi kuwa mwenyekiti wa Yanga lakini hakuna cha kukumbukwa alichoifanyia yanga

Walace karia huyu pia hafai kuwa rais wa TFF hakuna jipya lolote alilofanya tangu awe pale Tff zaidi ya mpira wetu kushuka tu

Mpaka leo hatuna cha kujivunia tunalilia bahati tu
Utafikiri mpira wa miguu ni bahati

Walace,madega, mwakalebela hakuna hata mmoja mwenye nia ya kuupeleka mpira wetu mbele kwenye mafanikio
Wewepekee unafaaa
 
Back
Top Bottom