eden kimario
JF-Expert Member
- Jun 13, 2015
- 10,356
- 16,379
Watu hawa wamechukua form za kuwania urais Tff ni haki yao kabisa ila hakuna mtu asiewajua
Hawajawahi kufanikisha chochote cha maana tangu wakae katika soka
Mwakalebela aliwahi kuwa katibu wa Tff lakini maendeleo ya mpira wetu bado yalikuwa nyuma
Madega aliwahi kuwa mwenyekiti wa Yanga lakini hakuna cha kukumbukwa alichoifanyia yanga
Walace karia huyu pia hafai kuwa rais wa TFF hakuna jipya lolote alilofanya tangu awe pale Tff zaidi ya mpira wetu kushuka tu
Mpaka leo hatuna cha kujivunia tunalilia bahati tu
Utafikiri mpira wa miguu ni bahati
Walace,madega, mwakalebela hakuna hata mmoja mwenye nia ya kuupeleka mpira wetu mbele kwenye mafanikio