Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
Wakili Peter Madeleka amesema kesi inayomkabili ya tuhuma za kudharau amri ya Mahakama Kuu ni suala ambalo wananchi wanapaswa kulifuatilia kwa karibu, akitaka kubainika iwapo kwa mujibu wa sheria, tuhuma za aina hiyo zinapaswa kuchunguzwa na polisi.
Amesema endapo kesi hiyo itafikishwa mahakamani, itakuwa fursa ya kujadili kwa kina mazingira ya tuhuma hizo, akisisitiza kuwa angetaka jaji aliyekuwa mahakamani afike kutoa ushahidi na kujibu maswali kuhusu madai ya kwamba alionyesha utovu wa nidhamu mbele ya mahakama.