Madeleka: Jaji aliyesema nimemdharau aje mahakamani nimdodose ili umma ujue

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
5,383
Reaction score
18,776
Wakili Peter Madeleka amesema kesi inayomkabili ya tuhuma za kudharau amri ya Mahakama Kuu ni suala ambalo wananchi wanapaswa kulifuatilia kwa karibu, akitaka kubainika iwapo kwa mujibu wa sheria, tuhuma za aina hiyo zinapaswa kuchunguzwa na polisi.

Amesema endapo kesi hiyo itafikishwa mahakamani, itakuwa fursa ya kujadili kwa kina mazingira ya tuhuma hizo, akisisitiza kuwa angetaka jaji aliyekuwa mahakamani afike kutoa ushahidi na kujibu maswali kuhusu madai ya kwamba alionyesha utovu wa nidhamu mbele ya mahakama.

Your browser is not able to display this video.
 
CCM ni wakiukaji wa haki za binadamu. Ni waonezi na madhulumati
 
Huyu jamaa anapenda equivocation kama alivyo Mayalla.

No mazafaka deserves a credit for solving a problem (s)he created in the first place! Mtu anakukamata illegally halafu umshukuru kwa kukuwezesha kuwasiliana na familia yako au mawakili wako? Seriously? Bila yeye kukukamata illegally, mawasiliano yako na familia yako au mawakili wako yangehitaji mwezeshaji yeyote?
 
Nasubiri darasa, kama la Lissu.
 
Apo ninamna yakufanya hata madeleke ni mtaalam wa sheria ivyo nae anataka apate jukwaa kama la lisu kuwaonesha watu nae anayaweza na pia mkumbuke uyo jamaa ni familia ya tisi
Unataka kusema yaliyofanyika ni maigizo ya kuwaonya wengine?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…