comte
JF-Expert Member
- Dec 11, 2011
- 9,019
- 6,825
- Thread starter
- #21
unadhani hivyo, mbona naon wamepangua hoja zenuzote za upotoshashi, mfanoWanatuambia kwamba, kile tunachoona hakipo!. Zaidi ni jinsi ambavyo wanonekana na kusikika kuwa hawajipanga linapokuja suala la DPW.
Inashangaza sana kuona na kusikia Wakuu wa Serikali wakikanyagana; na kuitetea DPW wakati wao DPW, kwa maoni yangu, ndio waliopaswa na kuwa na wajibu wa kujibu maswali mengine, halafu tukisema Mkataba umewabana wanasema ' ahh' haya ni makubaliano yetu' 'hatuna mkataba' Rubbish!
Hawana mkakati na wanakosa sauti ya pamoja.
yani ni kama hakuna msemaji wa Serikali. Mtu yeyote na mtu yeyote anaweza kuzungumza na waandishi wa habari, na kutoa taarifa! Wamejichanganya, There is a systemic failure
1. haijauzwa
2. zanzibar
3. Dubai siyo nchi
4. ardhi imeuzwa
5. nazingine zote