Madeleka umeudanganya umma wa watanzania kwa mara nyingine tena

unadhani hivyo, mbona naon wamepangua hoja zenuzote za upotoshashi, mfano
1. haijauzwa
2. zanzibar
3. Dubai siyo nchi
4. ardhi imeuzwa
5. nazingine zote
 
Mpango umekuwa makubaliano tena!!
Ccm mazwazwa sana
 
madeleka huwa hana akili, anajua tu kuongea, hata mahakamani hana akili. halafu mwangalieni kwa umakini, alikuwa polisi aliyefikia rank ya inspector, na unafikiri leo hii kweli ataacha kuwa royal kwa serikali? changa la macho huyo.
 
Unaelewa maana ya mpango.
 
unadhani hivyo, mbona naon wamepangua hoja zenuzote za upotoshashi, mfano
1. haijauzwa
2. zanzibar
3. Dubai siyo nchi
4. ardhi imeuzwa
5. nazingine zote
Hata kama wamejibu hayo, unaweza kusema hapa kuwa hayo majibu yametoka sehemu moja(from A-one reliable source). Manake kila mmoja aliyekuja kwa utetezi amekuja kivyake....wewe hapa umejikita kumshusha, na kumbeza Madeleka kwa lengo la kuondoa uhalali wa hoja zake kuhusu "Makubaliano" Vs " Mkataba"

Madeleka alisema, kiunagaubaga, kwamba kwaavile Bunge limejadili na kuridhia
basi ina maana wamejadili na kuridhia Mkataba. Na ndicho bunge lilichokifanya Hivyo basi sio sahihi Kusema ni makubaliano wakati Bunge ilichokifanya ni Kujadili na Kuridhia Mkataba kulingana na 63(3)(e)

Wewe "Mipango" umetoa wapi? Makubaliano ni Mipango? Bunge lilisema ati Leo tunajadili na kuidhinisha?

Hebu tuwekee yale yaliyosemwa na Mwenyekiti wa kamati ya Bunge hapa tuone ni wapi walitumia kipengele na sehemu hiyo ya 63(3)(c).

sasa mnaokota okota, kama wale wanaoutetea mkataba na kupotosha halafu mnageuka mnasema wakosoaji wa mkataba wanapotosha!
 
Kwamba mpango aka a plan ni sawa na makubaliano aka agreement kwa lugha ya malkia...
Hii inchi ina watu wa hovyo sana, na mwenye post atakua mmoja wao.
 
Katiba ya jamhuri ya Muungano wa Tanzania inaruhusu rais kuongoza mihula miwili (2) mfululizo ya urais kwa maana ya miaka 10.. ila ikiwapendeza wabunge wetu wanaweza wakafanya namna kurekebisha hicho kifungu ili kukidhi mahitaji yetu kwa sasa.. Mama Samia aongoze hadi 2040.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…