Mademu achen ushamba

Mademu achen ushamba

Hii imekuwa too much saa Yan madem wanaodrive wamejaa ushamba kichwani unakuta dem anaendesha kashusha vioo vyote uku anapepesa macho kuvuta attention Za masela
Kuendesha siku izi sio Ujanja kwanza kutembelea matako kunamaliza chura zenu tu afu hata gari ikikata wese anaanza kulia hujui tatizo nn mnaboa kinyama
Ishe boy smaind mademu wapenda attention Za kudrive

Wa kishua
Sasa tunakoelekea wataacha milango wazi
 
Hapana mkuu nashukuru kwa kunijali sema Smart911 wangu kila leo ananiletea zawadi with full of surprises!! Zinanitosha.

Mkeo nae huwa unampa mpa zawadi lakini??? Make wanawake tunapenda sana kupewa zawadi hasa na waume zetu. Tunafurahi mno mnoo



Mahondaw wa Smart911
[emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8]
 
Dah!!bahati mbaya gari angu vioo vya mbele havina tinted kwahio wacha nionekane na nnavopenda mauzo basi.........mtazidi kuumia
 
Back
Top Bottom