technically
JF-Expert Member
- Jul 3, 2016
- 12,706
- 52,355
Nina mpango wa kukununua moja nimpeleke kwangu aise yanavutia madude unaambiwa yanatoa huduma zote tofauti kuzaa tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huu ni wivu uliofika climax😂😂😂Wabaya🫤🫤🫤
IamBrianLeeSnr 🤣👋Kweli tena wabayaaaaaaa 🫤🫤🫤Huu ni wivu uliofika climax😂😂😂
Sio kweli yani walivyo kama watoto nikiwa nalo moja hata kuchit sitaweza nitalipenda sanaaa😂😂😂IamBrianLeeSnr 🤣👋Kweli tena wabayaaaaaaa 🫤🫤🫤
IamBrianLeeSnr una tatizo sio bure angalia sura zao na shepu zao mbayaaaaaa🤣🤣🤣👋Sio kweli yani walivyo kama watoto nikiwa nalo moja hata kuchit sitaweza nitalipenda sanaaa😂😂😂
Wivu huo! Unataka kusema lile kalio lote na shepu ya kibantu hujaona au 😂😂😂 acha wivu...😂😂😂IamBrianLeeSnr una tatizo sio bure angalia sura zao na shepu zao mbayaaaaaa🤣🤣🤣👋
Kununua Malaya ni cheap zaid kuliko kumiliki haya majiniSerekali ione namna ya kuyasambaza hayo maroboti kwa raia wake, hii ni huduma muhimu na ya dharura kuondoa invoices and mizinga ya kudumu
IamBrianLeeSnr kalio gumu bayaaaa yaan hawana mvuto kabisa🤣🤣🤣👋Wivu huo! Unataka kusema lile kalio lote na shepu ya kibantu hujaona au 😂😂😂 acha wivu...😂😂😂
Hayana yutiai yale, tuombe tu Elon Kwa Africa alegeze bei.robot mamilion ya pesa.mwanamke nikiwa na elfu mbili napona.