Mademu bandia wa ELON MUSK marobot wawa gumzo Duniani

Mademu bandia wa ELON MUSK marobot wawa gumzo Duniani

Kukimbia majukumu tu mkuu.. Hayo marobot hayawezi kuwa mmbadala bali ni kujilisha tu upepo
Wanaume wajinga tu ndiyo wanaokimbia majukumu, ila kwa hali ya kawaida.....HAKUNA mwanamme anayetaka demu kiombi, kila kukicha ni kuomba tu hela, hafanyi kazi wala kujituma, yeye anawaza kuomba hela tu na kujibandika status Instagram, Telegram, na Facebook.
 
kimsingi watu wamekuwa na hela mpaka wanakuwa wajinga wajinga yaani binadamu wote waliojaa mpaka ukahangaike na midoli STUPID kabisa huyo free mason
Mfanyabiashara hutazama soko. Swali ni, kwanini kuna soko la midoli ilihali binadamu wamejaa?
 
Back
Top Bottom