technically
JF-Expert Member
- Jul 3, 2016
- 12,706
- 52,355
Huu ni wivu uliofika climax๐๐๐Wabaya๐ซค๐ซค๐ซค
IamBrianLeeSnr ๐คฃ๐Kweli tena wabayaaaaaaa ๐ซค๐ซค๐ซคHuu ni wivu uliofika climax๐๐๐
Sio kweli yani walivyo kama watoto nikiwa nalo moja hata kuchit sitaweza nitalipenda sanaaa๐๐๐IamBrianLeeSnr ๐คฃ๐Kweli tena wabayaaaaaaa ๐ซค๐ซค๐ซค
IamBrianLeeSnr una tatizo sio bure angalia sura zao na shepu zao mbayaaaaaa๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐Sio kweli yani walivyo kama watoto nikiwa nalo moja hata kuchit sitaweza nitalipenda sanaaa๐๐๐
Wivu huo! Unataka kusema lile kalio lote na shepu ya kibantu hujaona au ๐๐๐ acha wivu...๐๐๐IamBrianLeeSnr una tatizo sio bure angalia sura zao na shepu zao mbayaaaaaa๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐
Kununua Malaya ni cheap zaid kuliko kumiliki haya majiniSerekali ione namna ya kuyasambaza hayo maroboti kwa raia wake, hii ni huduma muhimu na ya dharura kuondoa invoices and mizinga ya kudumu
IamBrianLeeSnr kalio gumu bayaaaa yaan hawana mvuto kabisa๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐Wivu huo! Unataka kusema lile kalio lote na shepu ya kibantu hujaona au ๐๐๐ acha wivu...๐๐๐
Hayana yutiai yale, tuombe tu Elon Kwa Africa alegeze bei.robot mamilion ya pesa.mwanamke nikiwa na elfu mbili napona.