Mademu mbona mkipiga picha mnabinua makalio?

na sisi tuanze kupiga za kujibinua pande za mbele hapa kwenye "flaiz"....ila kwa wenye vitambi itakuwa shughuli
 

Mkuu hakuna uhusiano kati ya umbo na utamu!!
 
Mh sasa wengine hata tujibinueje hakuna kitu ni kama mlingoti ndo maana mie huwa sipendi kupiga picha
 
na sisi tuanze kupiga za kujibinua pande za mbele hapa kwenye "flaiz"....ila kwa wenye vitambi itakuwa shughuli

Aahhhhh u made ma mornie Mkuu Iwe iliyochangamka na tabasamu aahhhh lol! Itabidi wenye vitambi wavipunguze
 
Ni namna ya kuonesha kuwa wanakula ujana age btn 18-35
 

Laivi ukilivua nguo tu hamu inaisha
 
Ndiyo yanazingua wengi wetu. Mtaani akipita nwanamke au binti wowowo mbona mnageuka na miluzi mnapiga.???!!
 
Huwa mara nyingi ni ujinga nilimwambia msichana mmoja akanielewa akaacha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…