Mademu mbona mkipiga picha mnabinua makalio?

na sisi tuanze kupiga za kujibinua pande za mbele hapa kwenye "flaiz"....ila kwa wenye vitambi itakuwa shughuli
 
Kusema ukweli ukiwa na mwanamke kama huyu halafu umemuweka ndani lazima kichwa kikuume sana,mimi nikiwowa mwanake kama huyu namvika kininja mwanzo mwisho maana sitaki ugonjwa wa moyo mimi.Jamani hata kama sijamuonja lakini naamini atakuwa mtamu sana huyu dada

Mkuu hakuna uhusiano kati ya umbo na utamu!!
 
Mh sasa wengine hata tujibinueje hakuna kitu ni kama mlingoti ndo maana mie huwa sipendi kupiga picha
 
na sisi tuanze kupiga za kujibinua pande za mbele hapa kwenye "flaiz"....ila kwa wenye vitambi itakuwa shughuli

Aahhhhh u made ma mornie Mkuu Iwe iliyochangamka na tabasamu aahhhh lol! Itabidi wenye vitambi wavipunguze
 
Kusema ukweli ukiwa na mwanamke kama huyu halafu umemuweka ndani lazima kichwa kikuume sana,mimi nikiwowa mwanake kama huyu namvika kininja mwanzo mwisho maana sitaki ugonjwa wa moyo mimi.Jamani hata kama sijamuonja lakini naamini atakuwa mtamu sana huyu dada

Laivi ukilivua nguo tu hamu inaisha
 
Ndiyo yanazingua wengi wetu. Mtaani akipita nwanamke au binti wowowo mbona mnageuka na miluzi mnapiga.???!!
 
Huwa mara nyingi ni ujinga nilimwambia msichana mmoja akanielewa akaacha
 
Back
Top Bottom