Mademu mbona mkipiga picha mnabinua makalio?

Kibo10

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2013
Posts
11,277
Reaction score
8,860
Jamani sio mbaya tukaulizana swali hili na kupata majibu ya pamoja.

Hivi kwa nini dada zetu wengi kama sio wote wanapenda kupiga picha kwa kubinua makalio yao?

Kwani wakipiga bila kuyabinuwa picha hazitoki?nijuwavyo mimi kitu muhimu kuonekana kwenye picha ni uso (sura)sasa hivyo vijambio mbona ndio mnavitanguluza zaidi?

Hii tabia jamani tuijadili hapa kwa kina nini maana ya mademu kufanya hivyo.
 
Aah! Siyo kweli bana weka picha tuthibitishe!!
 
Jamani sio mbaya tukaulizana swali hili na kupata majibu ya pamoja
Hivi kwa nini dada zetu wengi kama sio wote wanapenda kupiga picha kwa kubinua makalio yao?
Kwani wakipiga bila kuyabinuwa picha hazitoki?nijuwavyo mimi kitu muhimu kuonekana kwenye picha ni uso (sura)sasa hivyo vijambio mbona ndio mnavitanguluza zaidi?
Hii tabia jamani tuijadili hapa kwa kina nini maana ya mademu kufanya hivyo.

eti wanasema mwanamke makalio sura/uso hata mbuzi anao!!!

Biashara ya kondoo mkia!

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
Back
Top Bottom