Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
sijibinuagi ndo mana...
eti wanasema mwanamke makalio sura/uso hata mbuzi anao!!!
Me too!!Ngoja nitoke mbio......
.
Ni mbinu ya kujamba..loading error...
Jamani sio mbaya tukaulizana swali hili na kupata majibu ya pamoja
Hivi kwa nini dada zetu wengi kama sio wote wanapenda kupiga picha kwa kubinua makalio yao?
Kwani wakipiga bila kuyabinuwa picha hazitoki?nijuwavyo mimi kitu muhimu kuonekana kwenye picha ni uso (sura)sasa hivyo vijambio mbona ndio mnavitanguluza zaidi?
Hii tabia jamani tuijadili hapa kwa kina nini maana ya mademu kufanya hivyo.
WAKABAMBEE zegembe ndio nini mkuu au ndio kijambiokosa sura upate zegembe mjini utaishi
Mkuu Umenifanya Nicheke Hadi Nimejamba Kweli.........................!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!