Ameanza tayari
Kama kawaAmeanza tayari
Wenyewe wanamuita mama ubaya. Amuache samatta wa watuKama kawa
Atakutwa tu nyumbani kwa wema ngoja tuoneWenyewe wanamuita mama ubaya. Amuache samatta wa watu
Kwani wema sa hivi ana nyumba au? Ngoja tuoneAtakutwa tu nyumbani kwa wema ngoja tuone
Aitoe wapi, Kapanga.... Kobe na konokono wamemzidi wao wana nyumba ye hana πKwani wema sa hivi ana nyumba au? Ngoja tuone
Drama Queen yule. Ana shida sana.Aitoe wapi, Kapanga.... Kobe na konokono wamemzidi wao wana nyumba ye hana π
Hivi huyu Wema.....!!! Naomba Mungu atuweke hai natamani kumuona uzeeniAmeanza tayari
Hahahaha kwanini ndugu?Hivi huyu Wema.....!!! Naomba Mungu atuweke hai natamani kumuona uzeeni
Wow!Miss you much my popoma,welcome back dearest!Ni Mzuri Kuanzia Upande Wa Beki ( SURA ), Kiungo ( MWILI ) Isipokuwa Upande Wa Finishing au Ushambuliaji Tu ( MIGUU ) Ni Tatizo Na Timu Itakuwa Haishindi. Miguu Yake Ni Myembamba Mno Kama Stendi Za Maturubai lla Siyo Mbaya Nahisi Mbwana Kakomaa Sana Ugokoni Na ktk Miguu Kwakuwa Miguu Ya Mamsapu Wake Ni Zoezi Tosha Kwake Hasa Wawapo Ktk Battle Field Ya 6*6.
Bora wammalize kifedha kuliko soka!! cc Wema SepetuWASHINDWE KABISA HAO WATAMMALIZA SI KIFEDHA HATA KISOKA
Asante mkuu,usijali siku hizi kuna option ya kufollow huku,nifollow unifuatilie vizuri.
Enjoy
Ndugu watanzania wenzangu niwatoe tu hofu kuwa mrembo Wema kwa sasa yupo bize kurudi madarakani huko Madale baada awamu ya Zari kufikia ukingoni. Kwahiyo bwana mdogo Samatta awe huru hata kuonana na dada yake Wema ili kupata nasaha kabla ya kwenda Ubelgiji.