Mademu msije anza 'shobo' kwa Samatta

Mademu msije anza 'shobo' kwa Samatta

Ni Mzuri Kuanzia Upande Wa Beki ( SURA ), Kiungo ( MWILI ) Isipokuwa Upande Wa Finishing au Ushambuliaji Tu ( MIGUU ) Ni Tatizo Na Timu Itakuwa Haishindi. Miguu Yake Ni Myembamba Mno Kama Stendi Za Maturubai lla Siyo Mbaya Nahisi Mbwana Kakomaa Sana Ugokoni Na ktk Miguu Kwakuwa Miguu Ya Mamsapu Wake Ni Zoezi Tosha Kwake Hasa Wawapo Ktk Battle Field Ya 6*6.
Wow!Miss you much my popoma,welcome back dearest!
 
Ivi wakuu ile tuzo ina mpunga kias gan
 
Asante mkuu,usijali siku hizi kuna option ya kufollow huku,nifollow unifuatilie vizuri.
Enjoy

Naogopa kukufollow usije ukamwaga ubuyu unaonihusu supastar mimi huku JF😀😀 (kidding).....nitafanya hivyo, warumi chaliiiiiiiiii😎
 
Ndugu watanzania wenzangu niwatoe tu hofu kuwa mrembo Wema kwa sasa yupo bize kurudi madarakani huko Madale baada awamu ya Zari kufikia ukingoni. Kwahiyo bwana mdogo Samatta awe huru hata kuonana na dada yake Wema ili kupata nasaha kabla ya kwenda Ubelgiji.
 
Taarifa hii ningeiamini if, and only if, kama ubuyu huu angeuleta niffa hapa...otherwise!! Siamini kitu, ila comment kutoka kwa niffa na evelyn salt, mybe na kwa mbaaaaali, kutoka kwa warumi inaweza ikanibadilisha msimamo😛:😛
 
Jamani wekeni ile barua wema anaonywaa asimsogeleee samata
 
hahaahahahaah...kubwa la makahaba ...Weeema Abraaaahaaaam Sepetungaa
 
Back
Top Bottom