Mademu na post za birthday kila siku mitandaoni

Mademu na post za birthday kila siku mitandaoni

ndege joni

JF-Expert Member
Joined
May 23, 2017
Posts
682
Reaction score
1,108
Hapa ndo nashindwa kuelewa. Kuna mabinti kila siku wanapost birhday za watu tofauti tofauti kwenye mitandao. Unakuta leo tukio la huyu, siku nyingine lake. Yaani kila kukicha birthday.

Kuna baadhi niwaona status za whatsapp, fb, insta n.k daily birthday. Mmojawapo ex wangu Joy, whats wrong with you. Unataka nikuone ulivyozidi kuwa mzuri au? Sorry nimetoka nje ya mada, lakini ukweli ndio huo.

Swali langu, ina maana ndio style mpya ya kujiuza mitandaoni au, ndoa zimekuwa adimu. Hebu tuambieni
 
Wanawake akili zao ndogo wanapenda kuigana ujinga
we si unaona utakuta wanapost mara wamebinua matako mara wamebinua midomo
Yani karaha tupu waache bhana wanajijua wenyewe
Yes, mapozi kibao. Mara kuitana mpenzi na wanawake wenzao, inakuwa tatizo
 
Na akipost picha ya mwanamke mwenzie (akimuwish birthday) atapata like hata 300 lakini akipost picha ya mwanaume(akimuwish birthday) like hazitazidi hata 80!

Hapa huwa najifunza mengi sana.
 
Na akipost picha ya mwanamke mwenzie (akimuwish birthday) atapata like hata 300 lakini akipost picha ya mwanaume(akimuwish birthday) like hazitazidi hata 80!

Hapa huwa najifunza mengi sana.
Wanawake wetu ni changamoto. Hivi hata ulaya na nchi zilozoendelea ni hivi?
 
Hapo kweny ex wako Joy [emoji23][emoji23]mkuu naomba nikujue huenda ulishawahi kua bby wake rafiki yangu
 
Mambo ya facebook hayo......yackuumize kichwa......basi huyo mwenye birthday yake nae utamsikia akijibu......'thnks my lov,... ..'asnt dear.......nyingine oh swety nimekumisije!.....hapo ni wanawake kwa wanawake wanajibebisha!.
 
kuiga na ushamba ushamba ndo tatizo.......ila siku muulize je "Birthday" huwa anaifurahia kutoka moyoni?
 
Wanawake akili zao ndogo wanapenda kuigana ujinga
we si unaona utakuta wanapost mara wamebinua matako mara wamebinua midomo
Yani karaha tupu waache bhana wanajijua wenyewe
Asipofanya mambo hayo mwanamke unataka afanye Nani?
 
Na akipost picha ya mwanamke mwenzie (akimuwish birthday) atapata like hata 300 lakini akipost picha ya mwanaume(akimuwish birthday) like hazitazidi hata 80!

Hapa huwa najifunza mengi sana.
Inaonesha likes za na kuumiza sana kichwa mzeiya
 
Back
Top Bottom