ndege joni
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 682
- 1,108
Hapa ndo nashindwa kuelewa. Kuna mabinti kila siku wanapost birhday za watu tofauti tofauti kwenye mitandao. Unakuta leo tukio la huyu, siku nyingine lake. Yaani kila kukicha birthday.
Kuna baadhi niwaona status za whatsapp, fb, insta n.k daily birthday. Mmojawapo ex wangu Joy, whats wrong with you. Unataka nikuone ulivyozidi kuwa mzuri au? Sorry nimetoka nje ya mada, lakini ukweli ndio huo.
Swali langu, ina maana ndio style mpya ya kujiuza mitandaoni au, ndoa zimekuwa adimu. Hebu tuambieni