ndege joni
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 682
- 1,108
Yes, mapozi kibao. Mara kuitana mpenzi na wanawake wenzao, inakuwa tatizoWanawake akili zao ndogo wanapenda kuigana ujinga
we si unaona utakuta wanapost mara wamebinua matako mara wamebinua midomo
Yani karaha tupu waache bhana wanajijua wenyewe
Nilishaachana nae, ntaingilia mamlaka mengine [emoji23][emoji23][emoji23]
Wanawake wetu ni changamoto. Hivi hata ulaya na nchi zilozoendelea ni hivi?Na akipost picha ya mwanamke mwenzie (akimuwish birthday) atapata like hata 300 lakini akipost picha ya mwanaume(akimuwish birthday) like hazitazidi hata 80!
Hapa huwa najifunza mengi sana.
Asipofanya mambo hayo mwanamke unataka afanye Nani?Wanawake akili zao ndogo wanapenda kuigana ujinga
we si unaona utakuta wanapost mara wamebinua matako mara wamebinua midomo
Yani karaha tupu waache bhana wanajijua wenyewe
Inaonesha likes za na kuumiza sana kichwa mzeiyaNa akipost picha ya mwanamke mwenzie (akimuwish birthday) atapata like hata 300 lakini akipost picha ya mwanaume(akimuwish birthday) like hazitazidi hata 80!
Hapa huwa najifunza mengi sana.
Hahahaha imekuchoma mbinua matakoAsipofanya mambo hayo mwanamke unataka afanye Nani?
HahaaaWengne kwa mwaka wanazaliwa mara 8
Asante sana mzee [HASHTAG]#mlatinoh[/HASHTAG]Happy birthday mkuu ndege joni [emoji5]
[emoji3][emoji3][emoji3] vivutio hiviAsipofanya mambo hayo mwanamke unataka afanye Nani?